Vijana msikosee kuoa, nmeharibika baada ya kukosea kuoa

Vijana msikosee kuoa, nmeharibika baada ya kukosea kuoa

Kweli umepatwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pole sana

Tatizo vijana ni wabishi mnoooo.... Mkiambiwa ndoa ni zaidi ya muonekano wa nje hamuelewi
Wahenga hawakukosea walivyo sema mwanamke tabia
 
Wenzako mambo ni raaaaha... mambo bambam
Nina mtoto mmoja wa kike. Mwanamke huyu nmegundua hatuendani kabisa mwanzo hakuwa hivi. Yupo ambaye nlikuwa napenda. Nalia[emoji24][emoji24][emoji24]. Mimi ni mpumbavu tu. Inakuwaje naishi na mwanamke eti kwa kuangalia sura??? Nimefika huku. [emoji24][emoji24]

View attachment 1231727
FB_IMG_1570967401667.jpeg
 
Sikia mzeee, JIFUNZE kusepa na kuvunja mahusiano kama unaona hayakupi amani na furaha.
 
Back
Top Bottom