Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,009
- 17,461
Hiyo katiba na elimu unayoibeza wengi wanaojitambua bila kulalamikia serikali na wazazi wametoboa! CHADEMA Bwaaannahh!Misingi yenyewe ndo hii katiba na elimu mbovu mliyotuachia?
Hiyo katiba na elimu unayoibeza wengi wanaojitambua bila kulalamikia serikali na wazazi wametoboa! CHADEMA Bwaaannahh!Misingi yenyewe ndo hii katiba na elimu mbovu mliyotuachia?
Bila kusahau katiba mbovu tuliyonayo ilitungwa na kupitishwa na hawa wazee wa leo, sadly wanataka vijana tuingie barabarani kuipinga. Hivi wao walikua wapi kuzuia isipitishwe from the first place.Hoja zako kwa kiasi kikubwa zina mashiko, naunga mkono hoja.
1. Viwanda vingi alivyojenga Rais Nyerere havijauawa na vijana, Bali ni wazee waliopo ndio walioua viwanda hivyo.
2. Mafisadi wakubwa "waliokubuhu" kama wake wa "vujisenti vyangu," au "Joka la Makengeza" ni wazee, siyo vijana wale.
3. Hata vijana wengi wa sasa ambao ni mafisadi au wamepotoka kimaadili, ukichunguza kwa umakini sana utagundua kuwa chanzo ni wazee. Aidha amerithi upotofu wa kimaadili kutoka kwa Wazee au Wazee hao ndio waliomsaidia ktk kufanikisha madili yake ya kifisadi.
Wametoboa kwa bahati zao tu binafsi sio misingi ya kimfumo. Mbwana Samata mpaka anawika ulaya kuna mamlaka ya soka au michezo ilimpiga tafu si lilitokea zali tu kapiga fresh game ya simba vs tp mazembe katumbi akamchukua. Mifumo ya nchi ilimsaidia nini hashimu kucheza nba? si alitoboa kwa bahati tu. Bongo kutoboa ni randomly tu hakuna mifumo yoyote mliyoiweka mnasubiri mtu atoboe kwa juhudi zake muanze kumshobokea wakati nyuma ya uyo mmoja kuna maelfu ya vijana wanakwamishwa na mfumo.Hiyo katiba na elimu unayoibeza wengi wanaojitambua bila kulalamikia serikali na wazazi wametoboa! CHADEMA Bwaaannahh!
Kutoboa sio mpaka huwe star! Nina vijana wangu 6 wako mbezi mwisho nilikuwa nimewaajiri katika shughuri zangu wakapata mtaji wakapambana kivyao! Wooote hao sita wanaukwasi wa kulipa frame ya laki 5 kwa mwezi na wanalipa kwa mwaka! Kalaghabaoh! Wee endelea kulalamika! Ut--a-t-o-- mbewa demu wako!Wametoboa kwa bahati zao tu binafsi sio misingi ya kimfumo. Mbwana Samata mpaka anawika ulaya kuna mamlaka ya soka au michezo ilimpiga tafu si lilitokea zali tu kapiga fresh game ya simba vs tp mazembe katumbi akamchukua. Mifumo ya nchi ilimsaidia nini hashimu kucheza nba? si alitoboa kwa bahati tu. Bongo kutoboa ni randomly tu hakuna mifumo yoyote mliyoiweka mnasubiri mtu atoboe kwa juhudi zake muanze kumshobokea wakati nyuma ya uyo mmoja kuna maelfu ya vijana wanakwamishwa na mfumo.
Wanazaa kwa fujo ujiwa first born unapewa zigo la kusomesha wenzako.Vijina kuweni na Adabu.
Moja ya dalili ya mzee wa hovyo ni kutishia watoto vitu vya kufikirika kama sijui kumlaani Mtoto. Mzee yoyote ukimsikia anaongea vitu kama hivi ujue hapo hakuna kitu.
Mzee wa hovyo huzaa watoto ili waje wamtunze
Kijana huwezi piga hela kubwa bila kuhusisha wazee wa hovyo.Hoja zako kwa kiasi kikubwa zina mashiko, naunga mkono hoja.
1. Viwanda vingi alivyojenga Rais Nyerere havijauawa na vijana, Bali ni wazee waliopo ndio walioua viwanda hivyo.
2. Mafisadi wakubwa "waliokubuhu" kama wake wa "vujisenti vyangu," au "Joka la Makengeza" ni wazee, siyo vijana wale.
3. Hata vijana wengi wa sasa ambao ni mafisadi au wamepotoka kimaadili, ukichunguza kwa umakini sana utagundua kuwa chanzo ni wazee. Aidha amerithi upotofu wa kimaadili kutoka kwa Wazee au Wazee hao ndio waliomsaidia ktk kufanikisha madili yake ya kifisadi.
Halafu sahivi wakija makwetu wanataka kula kwa heshima. Na kudai fadhila kibao oooh nilikusomesha. Wakati likizo nzima unashinda shambani kutafuta chakula na ada.Wazee walikuwa wabinafsi sanaaa,
Paja na firigisi lao,
Misosi mizuri yote yao,
Mzee anakula kuku, watoto mnakula maharage,
Wazee walikuwa jau sana hawa.
Wazee wamelitafuna sana taifaUkitaja wazee nakumbuka
ESCROW
RICHMOND
DPW
Wazee wanastahili viboko. Wametapanya rasilimali za nchi na kugawana pesa kwenye viroba.
Halafu wanasema vijana sio wazalendo wakimaliza kidato cha sita waende jeshiniHao wazee ndio wameshiriki kuubakisha umaskini katika taifa hili mpaka leo.