Vijana msikatishwe tamaa na wazee

Vijana msikatishwe tamaa na wazee

Kawaambia ukweli,
Wazee wa hili taifa mna dharau vijana wakati niny hakuna cha maana mlichofanya wakati wenu,
Wanaprovide kidogo na masimango debe, hawa si ndo wazee walijitengea minyama watoto wakishindia michuzi tuu. Sahivi kula nyama sio dili tena watoto wanaenjoy.
 
Tulia we mzee ivyo vyote ulivotaja havina ubora hata kidogo kulinganisha miaka 60 ya uhuru
Sheria ni uozo
Elimu imeoza mliruhusu mitaala mibovu itumike
Umeme ndo sio wakuzungumzia
Kua mpole babu bomba kauli zenu si zilikua "mimi nimetafuta vyangu na wanangu watafute vyao " wakati wenzenu waliweka mikakati mizuri kwa vizazi vyao vya badae na maendelea ya uchumi
😆😂😂😂 asante mjukuu wangu! Nina vijana wangu niliwajengea misingi tu na wala siku-waspoonfeed na wote wametoka kimaisha! Hapa niko chini ya mwembe naokota maembe kwangu na wajukuu! Msimu huu wa sikukuu wamejazana kwangu wakishindana kunipa zawadi! Ningetamani wazee mjao muwajengee watoto misingi! Hila mitoto ya siku hizi ni kama "selemani" mishisha! Mirungi! Na mibangi! Yako yakiomba wazazi wafe warithi mali! Wazee wafukuzeni nyumbani hao maselemani yakapambane na kitaa kama huyu aliyeleta mada ya kiduanzi! Shenzi kabisa! Hutaki kuheshimu wazee? Dunia hii inaongozwa na wazee ndo wenye busara
 
asante mjukuu wangu! Nina vijana wangu niliwajengea misingi tu na wala siku-spoonfeed na wote wametoka kimaisha! Hapa niko chini ya member naokota maembw kwangu na wajukuu! Msimu huu wa sikukuu wamejazana kwangu wakishindana kunipa zawadi! Ningetamani wazee mjao muwajengee watoto misingi! Hila mitoto ya siku hizi ni kama "selemani" mishisha! Mirungi! Na mibangi! Yako yakiomba wazazi wafe warithi mali! Wazee wafukuzeni nyumbani hao maselemani yakapambane na kitaa kama huyu aliyeleta mada ya kiduanzi! Shenzi kabisa! Hutaki kuheshimu wazee? Dunia hii inaongozwa na wazee ndo wenye busara
Hatukatai kuna wachache waliotimiza majukumu yao lakini asilimia kubwa ya wazee walizembea sana ndio maana tuko hapa tulipo.
 
Uhalisia ni kuwa wazee naona ni walevi na malaya tu hamna lolote. Hadi leo nashuhudia mzee badala ya kutulia walau kipindi cha mwishoni afanye kulea familia yeye anajikita na mambo yasiyofaa kitu ambacho kinapelekea vijana kuwa na msongo wa mawazo kutafuta namna ya kuibeba familia.

Upuuzi tu.
Wanawaza kuhonga tuu
 
Umesahau hawa wazee ndo wameharibu uchumi wa hii nchi kwa ujinga wao na fikra za kimasikini na ushamba umwinyi, ubinafsi na uchoyo
Wametupa kazi ngumu hawa wazee waliendekeza sana utelezi, hawakua na akili za uwekezaji yani wao waliona uwekezaji ni wa waarabu na wahindi
Me naamini kwa vijana wasaizi wanaodharauliwa miaka ya badae kutakua na matajiri wakubwa wenye ngozi nyeusi watanzania halisi
Hata mi nilimuuliza dingi yangu kuwa inasemekana miaka ya 2000 kurudi nyuma viwanja kama Mbezi Kimara mpk kwa Matias ilikuwa bei sawa na bure, yeye alikuwa wapi kununua hata hekari 2 tu ambazo leo mimi na ndugu zangu tungeuza tukawa matajiri, hilo swali huwa hataki kusikia kabisa
 
Haijalishi vijana wanavaa vip ila ni smart generation ,hoa wazee wenu maofisini wanasumbua kutwa mara waandaliwe presentation kweny PowerPoint mara hivi hawana jipya.

Kiufupi wale maprofessor wa zamani elimu yao haiwezi kufanya lolote kweny jamii ya sasa zaidi ya kulaumu vijana ...


Hiki kizazi ndio smart zaid ya kile kilichopita
Bora ya F6 wa sasa ana akili kuliko hao maprofessor wa zamani
 
Hao vijana kuna wengine au ni hawa wavaa vibukta na visendo vya manyoya?
Achana na hao vijana

Jamaa kaongea ukweli mchungu hao wazee wanaotoa kauli za dhihaka kwa vijana

Na wao wangeishi kwa mishahara yao uwezo wao tungeujua ila wizi ufisadi ndio kinachowabeba hao wazee hakuna kingine

Tungekuwa na sheria kali kama wenzetu wa china tungeheshimiana
 
Wahindi na waarabu wakati wanatajirika wao wanatafuta wanawake pekee, shame on them
Walikuwa wanazaa watoto 10..Wazee wameshindwa kupambana nao mpaka wamechukua kila haswa biashara hapa nchi.

Ila vijana wa sasa ndio weny uwezo angalau wanaenda mpaka nje kama china , Arabuni , America kupiga madili ya maana.
 
Vijina kuweni na Adabu.

Moja ya dalili ya mzee wa hovyo ni kutishia watoto vitu vya kufikirika kama sijui kumlaani Mtoto. Mzee yoyote ukimsikia anaongea vitu kama hivi ujue hapo hakuna kitu.

Mzee wa hovyo huzaa watoto ili waje wamtunze
 
Wazee wengi wamekuwa na kauli za kuona kuwa vijana tumepotoka, hawana mwelekeo na juhudi kama walizo kuwa nazo.Wanaona vijana hatufai kuongoza taifa, hatuna weledi na nidhamu ya uongozi kama walivyo wao. Lakini ukweli ni tofauti.
Sisi ndio tunaojituma na kujikwamua kiuchumi kielimu na kifikra kuliko wao katika zama zao.
Sis tunahakikisha familia zinakula milo mitatu wakati wazee walijipa umwinyi kwa kuleta mlo mmoja nyumbani tena usio na viwango.
Kwenye familia nyingi sisi ndio tunaosomesha wadogo zao kazi ambayo ilipaswa kufanywa na wazazi(wazee) lakini bado wanatuona wavivu.
Ni wazee wangapi wanajengewa nyumba na vijana wao, Je wao waliwajengea wazazi wao? Katika ujana wao walishindwa lakini bado wanatuona vijana ni wavivu.
Ni wazee wangapi kila siku tunawasikia kwenye dili za upigaji rasilimali za Taifa, lakini bado vijana tunalaumiwa kwa kutokuwa wazalendo.
Vijana wa sasa ndio wanafanya uchumi wa taifa ukue kwa kasi, ndio wanaopambana mpaka usiku wa manane kurekebisha maisha mabovu waliyorithishwa na wazee wazalendo.
Vijana tusikatishwe tamaa juhudi zetu ni kubwa kuliko zao, uzalendo wetu na weledi wetu ni mkubwa kuliko wao.
Tupambane watoto wetu wasiishi maisha mabovu kama yetu.
Hoja zako kwa kiasi kikubwa zina mashiko, naunga mkono hoja.
1. Viwanda vingi alivyojenga Rais Nyerere havijauawa na vijana, Bali ni wazee waliopo ndio walioua viwanda hivyo.
2. Mafisadi wakubwa "waliokubuhu" kama wake wa "vujisenti vyangu," au "Joka la Makengeza" ni wazee, siyo vijana wale.
3. Hata vijana wengi wa sasa ambao ni mafisadi au wamepotoka kimaadili, ukichunguza kwa umakini sana utagundua kuwa chanzo ni wazee. Aidha amerithi upotofu wa kimaadili kutoka kwa Wazee au Wazee hao ndio waliomsaidia ktk kufanikisha madili yake ya kifisadi.
 
Wanaprovide kidogo na masimango debe, hawa si ndo wazee walijitengea minyama watoto wakishindia michuzi tuu. Sahivi kula nyama sio dili tena watoto wanaenjoy.
Wazee walikuwa wabinafsi sanaaa,

Paja na firigisi lao,
Misosi mizuri yote yao,
Mzee anakula kuku, watoto mnakula maharage,

Wazee walikuwa jau sana hawa.
 
Huko sahihi kijana lakini unajenga juu ya misingi ya wazee! Wazee wakiamua kubomoa misingi hayo mnayojivunia hayawezi kusimama! Sisi tuliwekeza katika misingi hili nyie vijana wetu mkikua mjitambue mpambane mjikwamue na kuwakwamua ambao kwao mmejikuta mmezaliwa
Misingi yenyewe ndo hii katiba na elimu mbovu mliyotuachia?
 
Tulia we mzee ivyo vyote ulivotaja havina ubora hata kidogo kulinganisha miaka 60 ya uhuru
Sheria ni uozo
Elimu imeoza mliruhusu mitaala mibovu itumike
Umeme ndo sio wakuzungumzia
Kua mpole babu bomba kauli zenu si zilikua "mimi nimetafuta vyangu na wanangu watafute vyao " wakati wenzenu waliweka mikakati mizuri kwa vizazi vyao vya badae na maendelea ya uchumi
Mizee ovyo sana hii. Inaamini katika kutafuta maisha ni lazima kila mtu lazima aanze 0.
 
Back
Top Bottom