Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,754
- 5,184
Kwa ujumla haya mambo ya sherehe yasiwe njia ya kutuunganisha pekee, suala la mawasiliano na undugu uwepo katika shida na raha
Ndio hivyo mkuu,inakera sana,na inakatisha tamaa.Unakuta wadau umewachangia kwenye harusi zao fresh tu, halafu ikifika zamu yako hawakuchangii wanakuja na visingizio kibao mara ooooh! Hali ngumu.
Waombe Ndugu zako na watu unaoishi nao hapo,Wale wa mbali usiwasumbue.Next month naoa mchango wenu wakuu
kuna jama yangu mmoja ni jamii ya warabu hawa ambao mazishi yao wanaochomwa moto aisee nilijifunza kitu kikubwa sana toka kwao.Ni point ya msingi sana!
Mtu anataka kuowa anataka sherehe ya Tsh 18mill akiulizwa mezani unaweka bei gani anasema 500,000/= anaanza kuwakimbiza watu mchaka mchaka.
Nadhani ilikuwa jambo la busara kama mtu anataka watu washiriki ktk sherehe yake yeye awape card yenye maelezo yote tarehe ya sherehe ukumbi wapi etc kisha awaache waamue kuchanga au kutochanga siyo kuzidisha kuwasumbua kila mara simu au sms,nimelala usiku naamka nakutana na msg ya ada ya mtoto na ya mchango wa harusi sitaacha kukutukana.
Majinga sana haya,ndo zao.Wanafikiri pesa zinaokotwa.Wana mfumo sasa unaitwa "HARUSI ONLINE" unashangaa unapokea meseji [emoji1787][emoji1787]
Siwezi kutoaToa mchango mkuu mengine tutayafanyia kazi.
Sawa,Nakataa sasa.Hujalazimishwa changia
Una uhuru wa kukubali au kukataa
Wazo zuri,Vijana walizingatie.Ni point ya msingi sana!
Mtu anataka kuowa anataka sherehe ya Tsh 18mill akiulizwa mezani unaweka bei gani anasema 500,000/= hizo 17.5mill zitatoka wapi anasema kwa ndugu na jamaa anaanza kuwakimbiza watu mchaka mchaka.
Nadhani ilikuwa jambo la busara kama mtu anataka watu washiriki ktk sherehe yake yeye awape card yenye maelezo yote tarehe ya sherehe ukumbi wapi etc kisha awaache waamue kuchanga au kutochanga siyo kuzidisha kuwasumbua kila mara simu au sms,nimelala usiku naamka nakutana na msg ya ada ya mtoto na ya mchango wa harusi sitaacha kukutukana.
Jack Pemba aliwapiga michango ya harusi Upanga na ndio akapata Nauli ya kutimkia Uingereza.Jamani natarajia kufunga ndoa muda si mrefu! Nimekuwa na marafiki wengi humu janvini kwa IDs za kuficha uhalisia kama ilivyokawaisa ya JF. Nikiwapitishia ombi la michango nitawakwaza?
Mwanzo sherehe zilikuwepo kwa nia njema,lkn sasa hivi Vijana wanatumia vibaya sana nafasi hii,ni njia yao ya kujikusanyia pesa za mtaji.Kwa mwislamu akisumbuliwa na sherehe ni ujinga wa kuiga tu.
Katika vitu dini ya kiislamu wapo vizuri ni swala la ndoa na mazishi.
Tatizo Dada zetu wa leo wanapenda sherehe kuliko ndoa yenyewe.
Duh!!,Huyo Jamaa noma sana.O
Jack Pemba aliwapiga michango ya harusi Upanga na ndio akapata Nauli ya kutimkia Uingereza.
Maana angewaomba wamchangie nauli wasingekubali, Jack Pemba ni genius mpaka leo.
Tatizo wanapenda sifa mbona hiyo 500,000/- unabeba jiko na party unaangusha fresh washiriki wazazi na wasimamizi ndugu wengine watakaotaka kushiriki waongeze basi zingine mbwembwe tuNi point ya msingi sana!
Mtu anataka kuowa anataka sherehe ya Tsh 18mill akiulizwa mezani unaweka bei gani anasema 500,000/= hizo 17.5mill zitatoka wapi anasema kwa ndugu na jamaa anaanza kuwakimbiza watu mchaka mchaka.
Nadhani ilikuwa jambo la busara kama mtu anataka watu washiriki ktk sherehe yake yeye awape card yenye maelezo yote tarehe ya sherehe ukumbi wapi etc kisha awaache waamue kuchanga au kutochanga siyo kuzidisha kuwasumbua kila mara simu au sms,nimelala usiku naamka asubuhi nakutana na msg ya ada ya mtoto na ya mchango wa harusi sitaacha kukutukana.
Ni Kweli Kabisa.Uzuri Kwenye Ndoa Muhimu sio ile sherehe,cha Muhimu ni yale Makubaliano mnayofanya Mbele ya Mungu na watu kule Kanisani au Msikitini.Zaidi ya hapo ni mbwembwe tu na kubebesha watu mizigo.Tatizo wanapenda sifa mbona hiyo 500,000/- unabeba jiko na party unaangusha fresh washiriki wazazi na wasimamizi ndugu wengine watakaotaka kushiriki waongeze basi zingine mbwembwe tu
Hicho ndicho cha muhimu mkitaka kula mnaenda nyumbani kama mmechinja jogoo wawili, ubwabwa au ugali na vinywaji inatosha sanaNi Kweli Kabisa.Uzuri Kwenye Ndoa Muhimu sio ile sherehe,cha Muhimu ni yale Makubaliano mnayofanya Mbele ya Mungu na watu kule Kanisani au Msikitini.Zaidi ya hapo ni mbwembwe tu na kubebesha watu mizigo.
Kama mimi vile wanisema nduguKuna jamaa angu mmoja ni jobless anajitolea shule moja kama mwalimu anasumbua balaa na meseji zake za mchngo wa harusi yake.. mwisho wa siku nmemtolea uvivu ajitahd afunge harusi kwa hela yake af mtoto wake akifka umri wa kwenda shule anitafte nmchangie hela ya madaftar