Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,800
- 58,434
Sio udugu wako kwenye mambo ya kikafiri hapa we mchawi nini
Sio udugu wako kwenye mambo ya kikafiri hapa we mchawi nini
Unazingua udugu wangu,,Sio udugu wako kwenye mambo ya kikafiri hapa we mchawi nini
Utakuwa una kitambi Tajiri sio kwa bapa na mududu,Jana nimepiga chair fire kavu kachumbari na ndizi mbili na konyagiiii ndogo yangu moja toshaaaaaa
Siopombe tu na wanawakeVijana mnaojitafuta acheni kunywa pombe. Mtakuja kunishukuru
Kwani wewe ni mlokole?Mimi binafsi najua kujiombea
Anakula kitu najisi najisi.Huyo jamaa monetory sijui aache na nguruwe... Toto linakula ngurue kama nn
Mlokole ni udugu wangu cc Poor BrainKwani wewe ni mlokole?
Ndugu yake pasta Pius Mwiru siyo?Mlokole ni udugu wangu cc Poor Brain
EwaaaahNdugu yake pasta Pius Mwiru siyo?
Nduuugu msikilizaji..... (kwa sauti ya zege linalosindikizwa na wimbo wa ooooh lulu...)Ewaaaah
Pastor Pius Mwiru sijui Yuko wap siku hizi,Nduuugu msikilizaji..... (kwa sauti ya zege linalosindikizwa na wimbo wa ooooh lulu...)
Ngoja nifuatilie nyendo zake nijue wapi aliko.Pastor Pius Mwiru sijui Yuko wap siku hizi,
Very nostalgia indeed
Unaendeleaje??Ngoja nifuatilie nyendo zake nijue wapi aliko.