Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,307
- 27,089
Uko sahihi pombe aina ya gongo No1 inatibuTimotheo 5:23
"Usinywe maji peke yake, bali tumia divai kidogo kwa ajili ya tumbo lako na magonjwa yako ya mara kwa mara."
Uko sahihi pombe aina ya gongo No1 inatibuTimotheo 5:23
"Usinywe maji peke yake, bali tumia divai kidogo kwa ajili ya tumbo lako na magonjwa yako ya mara kwa mara."
Acha wenge mzee babaHaina Faida yyte kwa Mnywaji.. zaidi ya Hasara tupu .. na itafika kipindi hutaweza kucontroll unywaji wako,…
just another cheap dopamine..!
Mbagala = mbagara?Tukutane mbagaraaaa hapo viwanja DAR LIVE
Shida ipo kwenye kunywa kwa kiasiPombe ni hatari kwa afya ya akili,mwili, uchumi na maendeleo 💯
Ukiona huwezi kabisa kuacha basi kunywa kwa kiasi mazee
Mimi binafsi najua kujiombeaNgoja Setfree akuombee na kukuepusha dhidi ya pepo katili wa pombe.
Hahahahah ndo naingia online sasaTukutane mbagaraaaa hapo viwanja DAR LIVE
😂Ewe kijana wangu Monetary doctor ukijaribu kunywa pombe Ntakuzibua pia bwana mdogo Poor Brain Ntakuzibua ukianza kuiga tabia ya ulevi.
Mkajitafute kwanza muda wenu wa kupombeka utafika tu.
Keep drinking 😂Tupe sababu tukiwaambia tuwe na maelezo
Keep drinkingTunwe Nini mkuu?
Keep drinkingTimotheo 5:23
"Usinywe maji peke yake, bali tumia divai kidogo kwa ajili ya tumbo lako na magonjwa yako ya mara kwa mara."
Hawatakuelewa Kwa sasa... Ila pombe Ina vibe sana. Ikikukolea ni vigumu sana kuiachaVijana mnaojitafuta acheni kunywa pombe. Mtakuja kunishukuru
Kuacha ikikukolea ni ngumu sana unaweza kua chizi au ukafa kabisa tena omba isiwe pombe ya kurogezewa asilimia 80 wanafeli kuachaHawatakuelewa Kwa sasa... Ila pombe Ina vibe sana. Ikikukolea ni vigumu sana kuiacha
Me nakunywa majiNawewe uache kunywa soda bababeki
Nilikusubir sanaaHahahahah ndo naingia online sasa
Nimechokozaa Wana Mbagala nilifanya makusudiiiii 😊😁😂Mbagala = mbagara?