Vijana mnaojitafuta acheni kunywa pombe

Vijana mnaojitafuta acheni kunywa pombe

Shida ipo kwenye kunywa kwa kiasi
Hapo beba vinywaji na ukanywe nyumbani na familia yako hule ukiasi utaji regulate tu, ila ukienda bar ukanywa na walevi wenzako marafiki usitegemee kupunguza,kuacha au ukiasi, angalia lipi linafaida kwako likombatie
 
Kila jambo lina faida zake na hasara zake,tukiangalia upande wa faida unywaji wa pombe ukiacha kufirisika ni huleta watu karibu huleta marafiki huleta connection huleat furaha hata maandiko yanasema mpe kilevi masikini akasahau machungu,pombe hupunguza stress hizo ni baadhi ya faida za pombe
 
Vijana mnaojitafuta acheni kunywa pombe. Mtakuja kunishukuru
Kama kipato chako ni 50000/-
Tumia elfu 15000/-
Kama kipato chako ni 30000/-
Tumia elfu 10000/-
Kama kipato chako ni 20000/-
Tumia elfu 7000/-
Kama kipato chako ni 10000/-
Tumia elfu 3000/-
*Ukiacha kutumia kwa akili tutaishije?
*Na ukizikusanya ukafa bila kula kidogo je?
(Kula ni pamoja na kunywa bia mbili)
 
Back
Top Bottom