Nakubali mamiloooHii imeendaa
Tupo tumekaa paleeWakwangu na mimi kwenye habar ya simu ndo semehu ambayo hatufatiliani kilamtu abaki na simu yake yaan we ata ukishtuka usiku saa nane ukakuta mtu anachati usiulize we kausha geukia upande wapili endelea kulala tunaishi in simple rules
Totoo,umeanza kuwa mshauri wa mapenzi?🤣😂😂😂😂 Kuna watu mapenzi mnayachukulia serious sana..!! Mapenzi ni sanaa inayoendeshwa na wasanii wawili, ukilijua hilo wala hutokaa uteseke.
Pole sana Kwa kuchoka kuishiHeheh, watu mnapenda sana kumiliki wenzenu yaani kwa mfano mimi pisi yangu kabisaa mimi niwe wakwake peke yake!!!? Me sitaki awe wangu peke yangu na yeye sitaki niwe wake peke yake.... Let's live tuu mmoja akichoka anaacha.
Mfano juzi tupo out message imeingia kwake akawa anasoma kwa kujificha nikamuuliza "What's wrong" akadai kuna jamaa anamsumbua na ashamkataa ila jamaa king'ang'anizi me nikamuuliza "Huyo jamaa vipi ana hela?" akadai anazo ila kawaida tuu kama mimi, Nikamuambia ampotezee.
Ndio maana watu wenye akili wengi hawakujihusisha na Mapenzi.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Ndio hivyo wote bongo movie, anakwambia bila ww naona maisha hayaendi..!!!
mi wangu ilikua tukiwa wote yangu tunakaa nayo wote yake anaficha shenzi zake
Kwani bado mnaamini kuna true love? True love ni nyege zako tu zikiisha unasahau hata sura ya mpenz mwenyewe
Nimecheka wallahNilishtuka siku nilipokuta kaweka kindege( airplane mode ), nikasema kwisha kabisa
Tuko nayo hii na Ba tamu wangu.Wakwangu na mimi kwenye habar ya simu ndo semehu ambayo hatufatiliani kilamtu abaki na simu yake yaan we ata ukishtuka usiku saa nane ukakuta mtu anachati usiulize we kausha geukia upande wapili endelea kulala tunaishi in simple rules
😂🤣🤭tukuchoka
Taraj 😂😂😂Totoo,umeanza kuwa mshauri wa mapenzi?🤣
So,kwenye love ni mfano wa msanii gani wewe? A big shot like Angelina Jolie or megan foxx
Ukweli mchunguKwani bado mnaamini kuna true love? True love ni nyege zako tu zikiisha unasahau hata sura ya mpenz mwenyewe🙄
Huo ndo ukweli aisee,mapenz hakuna sikuhizi....Ukweli mchungu