Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 15,517
- 37,921
๐๐๐๐ Kuna watu mapenzi mnayachukulia serious sana..!! Mapenzi ni sanaa inayoendeshwa na wasanii wawili, ukilijua hilo wala hutokaa uteseke.Nyie ndo mnakuja kugundua mnazama kwenye kina mkidhani mnaogelea