Vijana kuvalishwa sare za CCM na kujifanya kurudisha kadi -Arusha

Mahesabu

JF-Expert Member
Jan 27, 2008
5,972
3,830
1. Habari zilizopo ni kuwa, vijana kupewa sare za CCM pamoja na kadi na kuzirudisha katika mkutano hapa Arusha

2. Wapiga debe kupewa mda mrefu zaidi wa kuongea kuliko mgombea Urais hapa Arusha
!
3. Nyumba za wageni zimejaa mpaka sasa Arusha

4. Magari yanayosomba watu kuwashushia mbali kidogo ili isilete picha kuwa wametoka maeneo tofauti na hapo

NB: ViWANDA VYA KUTENGENEZA "VIROBA" na "BANANA" nako kuna habari ambazo hazijathibitishwa....zikithibitishwa zitaletwa kwenu
 
Weka picha aisee ili tuone uhuni huu wa vyama vya siasa ila tarehe 25 sio mbali na Mungu yuko kazini!
 
magosha wapo wengi humu jf ....arusha ni chadema ccm wakipata madiwani wawili tu ni kazi kubwaa sanaaa
 
Hehehehehe hicho kitakuwa kile kikundi kidgo kileeee arusha ni mabadilikoooooo hawa walishaamua siku nyingiiiiii
 
Ukawa hatuna sinema hizo mnazofanya nyie ccm.sisi tunakubalika vizuri sana na watanzania na hatutumii nguvu nyingi kama ccm
 
naona mtoa mada umeanza kupanic si mlikuwa mnajinasibu arusha mmefunika sasa leo ndio mtawajua machalii wa arusha
 
Hizo kadi za ccm,ukawa wanazipata wapi?kama sio uzembe wa ccm,mnagawa kadi holela ili mpite kwenye kura za maoni,majibu hayo sasa!
 
Simmesema mmevunja ngome sasa unalilia nini ngoja uone Leo mafuriko ya mabadiliko
 
ukawa hawana tabiya ya kusomba watu katka maloli ila ccm ndio wenye mchezo huo wakusomba watu kwenye maloli na kuwapeleka katka mikutano yao na kama hawajafanya hivyo mkutano hamna
 
1. Habari zilizopo ni kuwa, vijana kupewa sare za CCM pamoja na kadi na kuzirudisha katika mkutano hapa Arusha

2. Wapiga debe kupewa mda mrefu zaidi wa kuongea kuliko mgombea Urais hapa Arusha
!
3. Nyumba za wageni zimejaa mpaka sasa Arusha

4. Magari yanayosomba watu kuwashushia mbali kidogo ili isilete picha kuwa wametoka maeneo tofauti na hapo

NB: ViWANDA VYA KUTENGENEZA "VIROBA" na "BANANA" nako kuna habari ambazo hazijathibitishwa....zikithibitishwa zitaletwa kwenu

Acha kujihami
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom