Vijana kutembea nusu uchi, Wizara ipo wapi?

Vijana kutembea nusu uchi, Wizara ipo wapi?

Hivi hao wanaotembea nusu uchi wako wapi?mbona wote nnaowaona wamesitiri nyuchi zao!
Ukiona unakereka fumba macho upite..wengine starehe zetu hizo.

Comment ya taahira hii! Wewe unafurahia kuonesha kinyeo chako? Ipo siku utafanywa hadharani! Jitu unakuta liko chuo kikuu linategemewa kwenda kushika ofisi eti mat.ako nje mpaka ule mfereji unaonekana! Shame on you guys!
 
we unawashwa na kitu gani? Kuna mambo mengi ya kuhangaika nayo ila siyo mavazi!!
 
to be honest is TOO LATE

Its not a matter of being late!! Hapo Tunapaswa kusema 'it starts with me!'
Una ndugu, mtoto, dada pamoja na ww mwenyewe ...unalichukuaje hili la kuvaa nusu uchi ww pamoja na familia yako?? ....au ndo ulimwengu wa mabata tena watoto mbele wazee nyuma kuburuzwa tu wanavojiskia watoto tunafata??
Kila mmoja anapaswa kujua wajibu wake kwenye kukemea hili..tunauliza wizara wakati tunaishi na wazee 24/7..kwanini tusianze nyumbani? Utakuta Mtoto mdogo kavishwa ka jeans kafupi km chupi anaranda mtaani, kapata wapi ile km hakunuliwa na mzee wake,...halafu sasa ndo mtoto anakua nayo hayo.. akivaa gauni ati mshamba!!
 
Kama wizara zinaendesha mashindano ya kupitisha uchi mabinti mbele ya wanaume kama babu na baba zao unategemea wizara gani tena ichukue hatua? Hao mamiss wakipita na nguo zilizowastiri miili yao hawachaguliki? Kila mmoja anawajibu wa kukaa na familia yake na kuwafundisha lililo bora, mbona kuna wanaovaa vizuri sana tu wao wanaishi ulimwengu upi? Kama tusipochukua hatua sisi majumbani mwetu hiyo wizara sijui kama itafanya lololte. CHANGE NI MIMI NA WEWE kwa hili hatuwezi kupata support kutoka kwa watu wa marekani.
 
Comment ya taahira hii! Wewe unafurahia kuonesha kinyeo chako? Ipo siku utafanywa hadharani! Jitu unakuta liko chuo kikuu linategemewa kwenda kushika ofisi eti mat.ako nje mpaka ule mfereji unaonekana! Shame on you guys!

Kweli kabisa.
 
HIyo ndo asili ya mwafrika wacha wadumishe maana nguo zimekuja karne ya 17 tu
 
inatia hamasa kuona 2narud zam ze2 za kale! NA bhadooo ,we juxt waitng 4 gals 2 put panties on de head
 
developed nations mfano USA, sasa wabongo nao hawataki kupitwa!

USA ni taifa lililoharibika kimaadili na wameshindikana . wao ndo wangepaswa waige kutoka kwetu lkn kwa vile sisi ni taifa la mwendawazimu na tusiopenda kupitwa na kila kiingiacho mjini ndo utumbo tuuonao huo!
 
Comment ya taahira hii! Wewe unafurahia kuonesha kinyeo chako? Ipo siku utafanywa hadharani! Jitu unakuta liko chuo kikuu linategemewa kwenda kushika ofisi eti mat.ako nje mpaka ule mfereji unaonekana! Shame on you guys!

ndo hao wasiojitambua na vyuoni walienda kutafuta degree za chupi hivyo kwake starehe tu.
 
Ulitaka wizara waje kuwavalisha nguo?

ndo nyie nyie wanenu wakitoka nusu uchi eti umependeza mwidho wa siku mnatamani mnawakula . waafrika hasa KE wangejitambua thamani ya miili yao wasingeacha uchu maumbile yao.
 
Its not a matter of being late!! Hapo Tunapaswa kusema 'it starts with me!'
Una ndugu, mtoto, dada pamoja na ww mwenyewe ...unalichukuaje hili la kuvaa nusu uchi ww pamoja na familia yako?? ....au ndo ulimwengu wa mabata tena watoto mbele wazee nyuma kuburuzwa tu wanavojiskia watoto tunafata??
Kila mmoja anapaswa kujua wajibu wake kwenye kukemea hili..tunauliza wizara wakati tunaishi na wazee 24/7..kwanini tusianze nyumbani? Utakuta Mtoto mdogo kavishwa ka jeans kafupi km chupi anaranda mtaani, kapata wapi ile km hakunuliwa na mzee wake,...halafu sasa ndo mtoto anakua nayo hayo.. akivaa gauni ati mshamba!!

duuh! fursa hiyovelimu inatakiwa.
 
To change the world you should first change one person,the one you see in the mirror.
Mkuu play your part,it can be done.Better late than never.
 
And those who criticize this generation,might have forgotten who raised it.
 
Back
Top Bottom