Vijana kutembea nusu uchi, Wizara ipo wapi?

steveson manumbu

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
887
Reaction score
178
kila siku najiuliza sana hivi kwa miaka ijayo kizazi cha sasa hivi kitakuwaje? kwa sababu kwa sasa kuvaa nusu uchi na kuwa na tabia za ajabu katika jamii imepitidhwa na wizara ya utamaduni muda huo kuna watoto wanazaliwa na wanaendelea kuzaliwa katika mazingira ya tabia hizo, hali hii kwa badae itakuwaje watu watatembea uchi mzima sababu saikolojikale mtoto anapokua kuanzia kati ya mwaka1 mpk nane hii sakolojikale itaathiri karakana ya ubongo wake na yeye kuwa hivyo ndo maana watu mnalalamika lakini imezoeleka. sasa jamii ibadilike tutakimbilia wapi pa kuwalelea watoto wetu?
 
Ukisikia kizazi cha nyoka ndio hiki, ulitegemea itafika kipindi mahari zitatumwa kwa M-Pesa? Siku zijazo haitakuwa ajabu mtu na binti yake kuolewa na mwanaume m1...,
 
Maadili yamekwisha chakachuliwa, ilobaki tunalalama tu. chukuwa hatua yakujirekebisha na kujibadilisha wewe na familya yako baadaye jamaa zako na baadae kitaani,jimbo,wilya hadi mkoa thn nchi!!
 
kumbuka mkuu mwingiliano wa watu ni mkubwa kila kukicha. na hao hao watu ndo hivyo mimi ninacholilia ki generation hii na kuendelea ni hatarii hii mkuu.
 
Ukisikia kizazi cha nyoka ndio hiki, ulitegemea itafika kipindi mahari zitatumwa kwa M-Pesa? Siku zijazo haitakuwa ajabu mtu na binti yake kuolewa na mwanaume m1...,

ndo tunayotarajia hayo mkuu yaliyotabiliwa ndo tuyaonayo.
 
kumbuka mkuu mwingiliano wa watu ni mkubwa kila kukicha. na hao hao watu ndo hivyo mimi ninacholilia ki generation hii na kuendelea ni hatarii hii mkuu.

Hili kuendelea lipo haliwezi kusimama, ni kama mawimbi ya bahari iliyochafuka.... Lets go deep tujue kina cha mushkel, ndipo tuanze kurekebisha from new borns,young ,chekechea and onwards !! Mbona wazee wetu wa zamani walifuzu, walikuwa wakitukanya na kutuongoza japo siyo mzazi wakukuzaa!! Jirani yako alikuwa na hukumu juu yako na ya mwanae
na Mwalimu wa shule alikuwa anajaali hata mwanafunzi wa shule ingine ....!! YES WE can, JUST START AND ME HERE NASTART, NA MAMBOYATAPICK UP.
UBARIKIWE
 
Hivi hao wanaotembea nusu uchi wako wapi?mbona wote nnaowaona wamesitiri nyuchi zao!
Ukiona unakereka fumba macho upite..wengine starehe zetu hizo.
 
Hili kuendelea lipo haliwezi kusimama, ni kama mawimbi ya bahari iliyochafuka.... Lets go deep tujue kina cha mushkel, ndipo tuanze kurekebisha from new borns,young ,chekechea and onwards !! Mbona wazee wetu wa zamani walifuzu, walikuwa wakitukanya na kutuongoza japo siyo mzazi wakukuzaa!! Jirani yako alikuwa na hukumu juu yako na ya mwanae
na Mwalimu wa shule alikuwa anajaali hata mwanafunzi wa shule ingine ....!! YES WE can, JUST START AND ME HERE NASTART, NA MAMBOYATAPICK UP.
UBARIKIWE

mkuu umenikumbusha mbali shule nilikuwa nspigwa nakuta taarifa home napenyewe natembezewe dah! mtu yeyote akikuona anaenda cvyo unakanywa sana usiangalia unakula kichapo . vyote vipo wapi hivi mkuu! leo hii ukimkanya mtoto utatukanwa mpk matusi ya ndani .
 
Jaman mbona zamani watu walikua wanavaa majani, mtu akisha ziba dushe na papuchi,chakula ya mtoto ndo kwisha habari lila siku izi inaonekama ni ukosefu wamaadili.
 
mkuu umenikumbusha mbali shule nilikuwa nspigwa nakuta taarifa home napenyewe natembezewe dah! mtu yeyote akikuona anaenda cvyo unakanywa sana usiangalia unakula kichapo . vyote vipo wapi hivi mkuu! leo hii ukimkanya mtoto utatukanwa mpk matusi ya ndani .

Mie nimejifunza kuongea kwa utaratibu na upole kdgo katika mazingira yao. na vitoto hata serengeti boyzi huwapa small advaisi hapa na pale.... muhimu nawachiaga lilonikera !! polepole asaa huko mbele.
 
natamani japo maisha ya nyuma yangerudiwa hakika ilikuwa raha sana. sasa tunakokwenda mmhhh! vitoto havijui kuongea vipo juu juu tu hasa vya kike ni shidaa au kwa vile ni vingi?
 
FYI, dunia hairudi nyuma,,,,, Ulimwengu waenda mbele !! na mishale ya Saa huzunguka bila kusitisha wakati.!! Mkuu kazi tunayo sisi tulokabiliana na vizazi hivi !!
 
Ukisikia kizazi cha nyoka ndio hiki, ulitegemea itafika kipindi mahari zitatumwa kwa M-Pesa? Siku zijazo haitakuwa ajabu mtu na binti yake kuolewa na mwanaume m1...,

ah ah hii mbona tayari
mi nimeoa kwa mkopo toka mwaka 2007
juzi kati hapa nilikumbushwa na wakanipa taadhari kama ntachelewa kulipa basi wataniwekea na riba.

Japo tumezaa watoto wa- 2 mke mwenyewe ananingua nafikiria sijui nisitishe tu
 
Back
Top Bottom