Vijana kukutana kulinda na kudumisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana kukutana kulinda na kudumisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Habarindiyohiyo, Apr 23, 2009.

 1. H

  Habarindiyohiyo JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2009
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 263
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu wanachama wa TYVA na washirika wakuu wa dira Tanzania, tarehe 26/04/2009i siku ya maalumu ya kuadhimisha sherehe za miaka 45 ya muungano wetu kati ya Tanganyika na Zanzibar uliozaa Tanzania ya leo. Lakini kwa muda wote huo wa miaka 45 Muungano huu umepitia mawimbi na changamoto mbalimbali ambazo zinaitaji mijadala ya kina ili kuendelea kuuimarisha na kuudimisha muungani huu. Kwa kuzingatia haya, TYVA ikishirikiana na DUPSA imeaandaa mjadala siku ya Jumapili tarehe 26/04/2009 katika ukumbi wa nkurumah chuo kikuu cha DAr es salaam kuanzia saa 9:00-13:00 mchana Watoa mada siku hiyo ni Dr. Sengondo Mvungi Dr. Azaveli Lwaitama Mr.Bashiru Ally Pamoja na hao pia watakuwepo wageni maalumu kutoka vyama vya siasa, waandishi wa habari na wadau wa maswala ya muungano Mambo yanayotarajiwa kujadiliwa ni pamoja na swala la Zanzibar katika jumuiya ya kimataifa, mgogoro wa rasilimali mafuta ulioibuka hivi karibuni kati ya bara na Zanzibar na manufaa au hasara za muungano kwa pande zote nbili za muungano Wanachama wote na washika wa karibu wa TYVA mnaombwa kuhudhuria tukio hili muhimu kwa taifa letu katika jumba la kihistoria la nkurumah. Munishi DeogatiasiGeneral secretary TYVA+255715 887712


  .......ndiyohiyo
   
Loading...