Vijana, kinadada na wazee pitieni hapa

Vijana, kinadada na wazee pitieni hapa

nikajaribu kitu gani?
huyo bibi tangu ujana wake hadi kufikia hapo kesha pita na wangapi hadi leo we ukajichomeke apo bila hata haya.
Sitaki kujua na wala sijali kwani kaacha alama
 
Sana tu kwani tatizo nn mbona hauzungumzi fact
 
mzee yoyote mgane anitafute
miaka 50 mpaka 100
Dada yangu mbona unapenda sana kujishusha?
Ww ni mzuri sana, haupaswi kuwa mke wa pili au kuolewa na mgane.
Kaa tulia. Mume wako atakuja yy mwenyew. Sawa dada yangu?
Najua una hamu sana ya kuolewa ila kumbuka ndoa hupangwa na Mungu.
Kiukweli mm sipendezwi unavyojishusha.
 
Kwani kuna tatizo gani , Mm namiaka thelathini na kitu Hv lkn napenda waliosimama chuchu, hapo naweza kucheza EURO Mpaka majogoo kwa speed ya DART
 
ukisha kuwa na tabia mbovu huwezi kuona tatizo tena mkuu
 
Kwani kuna tatizo gani , Mm namiaka thelathini na kitu Hv lkn napenda waliosimama chuchu, hapo naweza kucheza EURO Mpaka majogoo kwa speed ya DART
Ina maana bdo hujaoa hd miaka hiyo kaka,bado unataka chuchu gein?maan imebidi niangalie avatar yako na unayoyasem
 
Dada yangu mbona unapenda sana kujishusha?
Ww ni mzuri sana, haupaswi kuwa mke wa pili au kuolewa na mgane.
Kaa tulia. Mume wako atakuja yy mwenyew. Sawa dada yangu?
Najua una hamu sana ya kuolewa ila kumbuka ndoa hupangwa na Mungu.
Kiukweli mm sipendezwi unavyojishusha.
kwani wazee ni kujishusha unataka walelewe na nani?
 
Hiyo ni laana ni sawa na kutembea na baba yako.
Kwani vijana wameisha mpaka ung'ang'ane na wazee?
Ww ni wa thamani sana kuliko unavyofikiria.
unajisikia raha gani kumvulia nguo mtu ambaye ni sawa na baba yako?
Dada yangu, kumbuka na hii ni laana pia. Hata yule mumeo Mungu kakutayarishia anaweza asikupe sbb ww unataka wazee. Mwisho wa siku unaanza kulia hakuna wa kukuoa. Acha kumkufuru Mungu
 
hao vijana mbona siwaoni wanataka kusex tu
 
Hiyo ni laana ni sawa na kutembea na baba yako.
Kwani vijana wameisha mpaka ung'ang'ane na wazee?
Ww ni wa thamani sana kuliko unavyofikiria.
unajisikia raha gani kumvulia nguo mtu ambaye ni sawa na baba yako?
Dada yangu, kumbuka na hii ni laana pia. Hata yule mumeo Mungu kakutayarishia anaweza asikupe sbb ww unataka wazee. Mwisho wa siku unaanza kulia hakuna wa kukuoa. Acha kumkufuru Mungu

Anafikili laana mpaka iwe ya ba
baba ake mzazi huyu.
 
Mimi ni kijana umri miaka 26,natafuta mchumba a.k.a jimama la kuoa lenye umri kuanzia miaka40 na kuendelea...sichagui dini wala kabila....ahsanteni!
 
ila unachagua nini??
 
Back
Top Bottom