Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Ni ujinga kwa kijana anayejitambua kupoteza muda kwenda kuandamana kwa kisingizio cha 'demokrasia' au kupigania watu fulani wapewe madaraka! Hamna kazi za kufanya hata mpoteze muda huo bure??
Ajabu hao wanaohamasisha kuandamana wanakuwa nyumbani na shughuli zao na Polisi wakitumia nguvu wanaothirika ni vijana ambao walipaswa kuwa shambani au kwenye biashara zao. Eti wanadai Demokrasia wakati kwenye Vyama vyao hakuna Demokrasia! Ridiculous!!
Vijana jitambueni na muache kushabikia mambo yasiyo na tija!!