Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Mwana nikuambie ukweli tu...UNA ROHO YA KICHAWI.... nyie ndio wale mlipokuwa shuleni mlikuwa mnaficha vitabu ili wengine wasifaulu
Hitlerian kind of thinking. You must be an evolutionist!some people were born to read code wengine walizaliwa kuwa mashabiki ni kama mpira tu
MTU yoyote mkuuVipi hii kitu wadau,ni lazima uwe umesoma IT au mtu yeyote mtundu anaweza kuisoma hii kitu?
Kwahiyo ukisha anzisha hiyo programm ya computer unalipwaje sasa yaani nani anakulipa?programming maelezo kidogo
ni kwamba jamiiforum, mpesa, tigopesa,airtel money,maximalipo,youtube,facebook,whatsapp,google vilitengenezwa na wataalamu wa programming
offcourse ndo mabilionare nchini kwetu kama sio duniani
so huo ujuzi watu hawazaliwi nao bali hujifunza, sio lazima uende chup unaweza jifundisha mwenyewe ukiwa nyumbani
na kumbuka mimi hela yangu ya kwanza niliipata ndani ya miezi mitatu ilikuwa shilingi laki tatu na nusu .......hiyo ndo ilinitia moyo na kuendelea kuchimba
🙂Ni chuo gani binafsi kinafundisha programming in deep hama mjini?nataka nimpeleke dogo anapenda mambo haya.
Ninge prefer vya wahindi au wazungu naamini wako serious na kazi zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Its true ,either you are born a male or a female, single parent or both parents, programmer or not a programmer. its simple binary .The universe itself is simple binary either you are alive or dead, coder or not a coder .the law of excluded middle( P || !P)Hitlerian kind of thinking. You must be an evolutionist!
FYI God created us equal and as such anyone can learn and become a programmer if he decides to pay the price. Your evolutionist view have blinded you to that fact. Am sorry to say, there is one God who decides the fate of everyone. Thanks to Jesus you are not that God.Its true ,either you are born a male or a female, single parent or both parents, programmer or not a programmer. its simple binary .The universe itself is simple binary either you are alive or dead, coder or not a coder .the law of excluded middle( P || !P)
FYI God created us equal and as such anyone can learn and become a programmer if he decides to pay the price. Your evolutionist view have blinded you to that fact. Am sorry to say, there is one God who decides the fate of everyone. Thanks to Jesus you are not that God.
TL;DR Your view is wrong and worse than that: It is a very big and fat lie!
Duh! Ujifunzie tuu mtandao bila kwenda shule? Labda Html, lakini kwa Php,Javascript,C++,visual Basic.. tuache utani mimi nmesoma haya mambo ni magumu balaa yanahotaj muda wa kufundshwa pia kufanya kigroup zaidi
Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
usipotezee nguvu hukuzaliwa ku program tafuta hobby nyengineHii kitu nataka kujifunza sana ila nilijaribu nikashidwa sababu sina background nzuri ya ya masomo ya science..kila kitu niliona kipya..
Ila nampango wa kuingia darasani full..only for programming..
Sent using Jamii Forums mobile app