Vijana jichunguzeni Mahusiano uliyonayo kama yanajenga au yanabomoa maisha yako

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Nilikuwa namsikiliza mwana saikolojia alphaxad joel kupitia yotube channel yake

Katika mafundisho yake anasema mahusiano yana nafasi kubwa ya kujenga na kubomoa maisha yako
Hivyo kila baada ya miezi sita unatakiwa ujitathimini

kiuchumi unasonga mbele au unarudi nyuma

Ni vitu gani vya msingi umevifanya tangu uingie ndani ya hayo mahusiano

Katika malengo uliojiwekea kabla ya kukutana na huyu mpenzi wako ni yapi umeyatimiza mpka leo hiii

Je mpenzi wako ni asset au liabilities

Ukipata majibu ya maswali jitathimini
 
Mademu wengi wa bongo ni liability, ukiwa nae uchumi unayumba na hautafanya chochote cha maendeleo hasa kama uchumi wako ni wa imani upendo na miujiza
 
Back
Top Bottom