Kuna fursa gani? Uchumi ukoje? Hali ya maisha?View attachment 2996465
KAMA ULIKUWA HUJUI...
Nchi ya Latvia ina idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume katika bara lote la ulaya
Wanawake ni asilimia 17 zaidi ya idadi ya wanaume
Yaan kwenye wanawake 117 kwa wanaume 100 hivyo wanawake 17 wanabaki zaid
Na katika chuo kikuu cha Latvia idadi ya wanawake ni mara 2 zaidi ya idadi ya wanaume ( wanawake 100 wanaume 50) hali inayopelekea wanawake wengi kupata ugumu katika kupata wenza wao..... Hasa hasa mwanamke msomi hupata wakati mgumu zaidi
lakini kama ulikuwa hujui wanawake wa LATVIA ndio wana sura nzuri zaidi kuliko wanawake wote wa ULAYA
Na ni wanawake warefu kuliko wote duniani
Kwa kifupi ni wanawake warembo balaa
Je utapenda kwenda kuishi Latvia?
Kijana wa hovyo grade one, yaani asubuhi namna hii umeamka unawaza nyabe tu, alafu mwisho wa siku mnalalamika maisha magumu...☹️
Una mapepo wewe. Ungekuwa huna mapepo ungetafuta mtandaoni hali ya uchumi wa LatviaNilidhani utaongelea pesa Kumbe Ngono tu
Hatuwaoni mbonaHili la Wanawake kuwa wengi kuliko Wanaume halipo tu nchi hiyo ulioitaja. Ni duniani kote ila tunatofautiana idadi ya kupishana. Tanzania yenyewe ina idadi kubwa zaidi ya Wanawake kuliko Wanaume.
Wanawake ndio msingi wa maishaMawazo ya chupini... yaani wewe umeona kabisa kuwa faida pekee ya vijana kuhamia Latvia ni kufuata wanawake?
Tena ukienda kwenye Sherehe, kama harusi misiba utaona robo 3 bongo ni wanawake. Wamejaa sana bongo.Hili la Wanawake kuwa wengi kuliko Wanaume halipo tu nchi hiyo ulioitaja. Ni duniani kote ila tunatofautiana idadi ya kupishana. Tanzania yenyewe ina idadi kubwa zaidi ya Wanawake kuliko Wanaume.