Vijana chukueni somo la bure hili, tafuteni kibunda ndio solution ya mambo yote!

Watakuja kwa makundi, eti ili upate contact za mtu unaomba account number? Kweli hawa madogo wa siku hizi ni wa hovyo, naishi maisha classic, few nice cars, sio mlevi, sina mambo mengi, nikitaka demu simkosi.

hapo kwenye ukitaka dem humkosi lazima account number ihusike mzee vinginevyo huo ni uongo au labda uwe unakula madem cheap daraja la chini kabisa
 
Ndugu wanawake wanapatika vizuri tu.
Fanya maisha utakuja kuniambia hapa.

mkuu wanawake hawataki kelele au maneno mengi kibunda ndo solution kama mpka saiv huelewi hili basi wewe bado sana unasafari ndefu
 
hapo kwenye ukitaka dem humkosi lazima account number ihusike mzee vinginevyo huo ni uongo au labda uwe unakula madem cheap daraja la chini kabisa

Siwezi sema nina hela maana sio bakhressa, ninazo za kunitosha na ziada kidogo ila sitatafutia mwanamke, na hata kama nampa hela simpi ili nilale naye, kamwe!!!

Sijawahi nunua mwanamke, na kuna mwanamke nishampa 1.5m nilimkuta anakusanya mchango wa kukamilisha ada yake ya chuo akiwa mwaka wa 3, nikampa yote mpaka mwaka wa nne, na sijawahi kulala naye.

Sio kwamba ni mgumu, lakini nitoe hela sababu ya tundu, HAPANA!
 
So hapo unajiona mjanja...duuh..haya bana ..msamaria
 
poa mkuu hiyo ni life style yako ulio chagua kuishi enjoy
 
Kuna sehemu nimepita jana usiku kuna vyumba vingi na vyote unanukia udi mtupu. Kuchungulia ndani kila chumba kuna mdada yuko uchi kalala ametega.
Vyumba siyo chini ya 40.

Location plz
 
Location plz
Ni mitaa ya buguruni sokoni! Nyuma kuna vyumba siyo chini ya 40 ukipita pale ni udi unanikia muda wote.
Milango iko wazi wadada wamelala maungo yote nje. Ukiona mlango umefungwa basi ujue kuna mtu anapewa huduma.
Nimestaajabu sana.
 
Watakuja kwa makundi, eti ili upate contact za mtu unaomba account number? Kweli hawa madogo wa siku hizi ni wa hovyo, naishi maisha classic, few nice cars, sio mlevi, sina mambo mengi, nikitaka demu simkosi.
Ni kweli kabisa fanya mambo yako tu. Vaa vizuri na upendeze, kula vizuri na usiwe na shobo nao yaani automatically watakuchokoza wenyewe.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…