Vijana 200 waliosoma IT wanahitajika kinondoni

KAKA YAKO NAPITA

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2014
Posts
1,322
Reaction score
233
wanahitajika vijana 200 waliosoma IT pale ofisini kwa Makonda leo hii saa10 jioni kwa ajili ya zoezi la BVR
 
ipe habari yako mashiko , hili hili suala la bvr ni kubwa na kitaifa
 
wewe ni tapeli...

Kutoka kwa mkuu wa wilaya Kinondoni PAULMakonda >>> Wale vijana 200 ambao ni wataalam wa IT ambao tulikuwa wote kwenye viwanja vya Leaders nawaomba waje Manispaa ya Kinondon leo saa 10 jioni kwa ajili ya kazi ya zoezi la BVR kesho asubuhi. Nataka tuongeze ufanisi ktk wilaya yetu na mkifika muulizie mtu anaitwa Urasa
 
Last edited by a moderator:

Kweli jamani au?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Watupe ajira za kudumu,sio hizi za siku 3...kujitafutia kiki ya siasa.
 
imebaki kama week 1 tu kukamilisha uandikishaji dar? labda kama kunakazi nyingine ila hii hapana kwakweli.
 
Back
Top Bottom