Vijana 10 wa JKT Msata kufariki wakiwa kambini wa kuwajibika wawajibike tu

Ni jeshi la nchi gani hilo ambalo halina mafunzo heavy?

Unawajua seal ya marekani?
US navy seal hawana mazoezi ya namna hiyo ya kuua, wale yamekaa kisanmyansi sana. Mimi sio mwanajeshi na wala sitaki kusema sana kwemnye maswal ya jeshi lakini nashangaa sana wanajeshi wa Afrika wanapiga mazoezi sana wakati wa mafunzo na wanaiva kweli kweli lakini wakikaa kazini 2 to 3 yrs hivyo vitambi vinafuta yoote waliyijifunza kiasi kwamba hawesi kukimbia 200metres bila kupumzika.
 
Mimi pia nilipita kule kwa Mujibu na baada ya pale niliapa sitaruhusu binti yangu ajiunge na jeshi, na huo ndo umekuwa msimamo wangu hadi leo. Kuna binti yangu 2 alijaribu kuapply jeshini baada ya Diploma yake Fisheries nilimdiscourage kwenda huko hadi akaahirisha.

Sisemi kwamba binti zangu ni watakatifu, hapana. Ila sipendi wakanyanyaswe kingono huko kwenye 'chenja', inawezekana hata huku uraini ni wafuska lakini bora wafanye hivyo at free will. Jeshini one can hardly exercise her free will.
Walinde wanao kwani kazi ni jeshi tu.
 
Lazima uchunguzi ufanyike. Tusiwe wajinga wa kuufunika uzembe na kasoro kwa kisingizio cha siri za jeshi. Waliofariki ni raia na wala siyo waajiriwa wa jeshi, lakini hata wangekuwa waajiriwa, bado haki ya usalama wao ipo pale pale.

Hawa hawajafa kwenye uwanja wa mapambano bali mafunzoni. Uchunguzi ufanyile ili kuyatambua mapungufu, na kisha kuweka mfumo utakaozuia haya au yanayofanana nayo, yasitokee tena.
 
Naona mtoa mada anapotaka kuingiza hoja zake kwenye mambo ya kijeshi.
Hiki ndicho anachotuaminisha

Showing results for Rhabdomyolysis
Search instead for Rhabdomyolisis


Search Results
Featured snippet from the web
Image result for Rhabdomyolysis
en.wikipedia.org

Rhabdomyolysis is a serious syndrome due to a direct or indirect muscle injury. It results from the death of muscle fibers and release of their contents into the bloodstream. This can lead to serious complications such as renal (kidney) failure. This means the kidneys cannot remove waste and concentrated urine.

Maelezo zaidi
A breakdown of muscle tissue that releases a damaging protein into the blood.

Treatable by a medical professional

Requires a medical diagnosis

Lab tests or imaging always required

Short-term: resolves within days to weeks

Critical: needs emergency care
This muscle tissue breakdown results in the release of a protein (myoglobin) into the blood. Myoglobin can damage the kidneys.
Symptoms include dark, reddish urine, a decreased amount of urine, weakness and muscle aches.
Early treatment with aggressive fluid replacement reduces the risk of kidney damage.
 


Hayo maelezo ya CDF yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Maana kuharisha na kutapika inawezekana pia ni "Rhabdomyolisis" hali ambayo hupelekea "Acute kidney failure", kwa kesi ya vijana moja kwa moja ni mazoezi ya kupitiliza kutoka kwa maafande. Uchunguzi huru unahitajika
na wa kuwajibishwa wawajibishwe.

1. Vijana wetu 10 waliokuwa kwenye mafunzo ya JWTZ wamepoteza maisha

Mwaka 1990 nilikuwa JKT Oljoro, Operesheni Nidhamu. Siku ya kwanza kwenda route march kuanzia kule CTS kukatiza duka mbovu, Laroi, Nadosoito hadi FFU na kurudi tulichoka sana, njiani tukatafuta upenyo kuomba maji ya kunywa kwa wamasai, maji unapewa kwenye kibuyu hayaonekani unagida tu harufu unaisikia baadae ukishakata kiu, na hakuna aliyeuliza yalichotwa wapi. Bahati nzuri sisi hatukuugua, lakini kama yangekuwa na vimelea vikali vya magonjwa tungeugua. Nahisi hao vijana wamekutana na changamoto kama hiyo.
Natoa pole kwa wafiwa.
 


Hayo maelezo ya CDF yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Maana kuharisha na kutapika inawezekana pia ni "Rhabdomyolisis" hali ambayo hupelekea "Acute kidney failure", kwa kesi ya vijana moja kwa moja ni mazoezi ya kupitiliza kutoka kwa maafande. Uchunguzi huru unahitajika
na wa kuwajibishwa wawajibishwe.

1. Vijana wetu 10 waliokuwa kwenye mafunzo ya JWTZ wamepoteza maisha

Kuna koz ndani ya jeshi ningumu sana. Na zinakuwa top secret 🔐 ukishindwa wafa kabla yakurudi kuja simulia kilichokukuta. Hizi koz huwaanda watu maalumu kwa kaz maalumu. Niwatu wanakuwa wanadam ila wanatofati na wanadam na sio koz zakwenda au kumuingiz mtu bila kufuwata utaratibu atakufa tu. Kama kuna siri na ktk hilo zoez siri hiyo haitakiwi kuvuja ikavuka hiyo uniti mnakufa wote. Kama mliambiwa msile nyie mkala my friend mnakufa wote. So guys hakuna wakulaumu japo mambo yalio tokea yatabaki kuwa siri na watakao kuwa niwale watakao endahiyo koz only nawao hawatorud kusimulia milele. Hilo ndio jeshi.
 
Tatizo maovu na ufisadi mwingi unatokea huko huwa tunaambiwa ni siri za nchi kiusalama. Kuna mmoja alileta meli mbovu alipoona watu wanahoji sana akaihamishia jeshini kwamba huwezi kuhoji siri za jeshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom