lossoJR
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,711
- 2,387
Nakumbuka mtihani wa darasa la saba unaanzaga kama masikhara hivi!
19+87=
219-45=
12x34=
59÷7=
....
halafu huko mbele sasa kuanzia swali la sita na saba hivi, utajutaa:
Ndege inatoka Dar saa tatu kwenda Chato. Land cruiser VX linatoka Chato saa nne kwenda Dar.
Ikiwa spidi ya ndege ni 350km/saa na ya land cruiser VX ni km220/Saa, na umbali wa Chato-Dar ni KM 900, zitakutana saa ngapi?
Doh
Hapo Sasa mi ntajuaje?!
Na hizi tochi zote barabarani na matuta! kuchimba dawa, kunywa chai ?!?
nilikuwa Siweki jibu lolote nakusanya tu!