Vihoja vya binadamu, yaani!! we acha tuuu!!!

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
557629_10150642048623173_63782793172_9395614_583068140_n.jpg

546698_10150647794938173_63782793172_9416383_1573240658_n.jpg

Sasa hawa ni-aje?
 
Kwa upande mwingine washukuru wachina, Maana miaka 15 iliopita AC and Satelite zilikua kwa "Mwanamboka" tuu!
 
557629_10150642048623173_63782793172_9395614_583068140_n.jpg

546698_10150647794938173_63782793172_9416383_1573240658_n.jpg

Watu wengine noma. hapo nikipiga bei ya AC pamoja na hiyo Dstv hailingani kabisa na huko juu. Bati chapa simba ni Tsh ngapi? Dstv Je? yaani kaona ni afadhali bati livuje atakinga masufulia kuliko kukosa Dstv na BBA. sasa wa kulaumiwa hapo nani , yeye au serikali? watanzania tunapenda sana starehe.
 
Mdau acha kuropoka,hapo kuna dishi la DSTV? kwa taarifa yako maeneo ya dodoma hasa wilaya ya Mpwapwa bila kuwa na dishi kama hili hupati tv yoyote wala radio pendwa,na hilo dishi ni kama laki 2 tu usitishike
 
mimi mwenyewe sina ndio maana sijui kama ni Dstv au lah! anyway asante kwa kunifahamisha.
 
Back
Top Bottom