Dunia haimuhitaji binadamu, binadamu anahitaji dunia

Infropreneur

JF-Expert Member
Aug 15, 2022
5,268
10,776
Muharibifu namba moja wa Dunia ni binadamu, Binadamu akiangamia na kutoweka kabisa Dunia itanawiri.

Uoto wa asili utastawi mimea, wanyama na viumbe hai wote watapata makazi bora na vyakula vya kutosha. Mazingira na mandhari itapendeza.

Mimea na wanyama vikitoweka kabisa, Binadamu hana maisha lazima binadamu atakufa.

Binadamu akitoweka kabisa, Wanyama Mimea na species zote za viumbe hai
vita ishi kwenye mazingira safi ya kupendeza yasiyo na uharibifu wowote ule wa mwanadamu.

Dunia haimuhitaji binadamu, Binadamu anahitaji dunia.Hivyo binadamu hana Uspesho wowote ule kwenye dunia zaidi ya uharibifu wa dunia na mazingira yake.


If humans went extinct, Nature would rejoice and all life on earth would flourish.

Then why do we think we are so special on this earth?

Nature ikitoweka kabisa, Akili na uspesho wetu utakuwa hauna msaada wowote.

We will perish within a second.
 
Back
Top Bottom