Vihoja na vituko uswahilini

Nahisi huyu mdada atakua alimkimbia jamaa guest .............
 
Kigoomaaa aeh kigoma maliiimaaa, leka dutigite!!!!!!!!!!!!!!
 
Demu kala vya watu kisha anakimbia wakati njemba ishajiandaa, so ilibidi akimbiliwe kivyovyote, ukitaka kula lazima uliwe
 
mwanaume ana bidii kweli kutakuwa na raha tena baada ya haya jamani?
 
Ndio matatizo ya kuanza kuvua kabla ya Demu!!akiona chupa ya soda tu anajitia anaenda chooni,hapo ndio anakula kona!!
 
"Usipokuwa tayari kuliwa kidogo, huli! sasa wewe unataka kula tu bila kuliwa, haiwezekani."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…