Vigoma/Vigodoro Mitaani hususani Dar husukumwa na nini?

Vigoma/Vigodoro Mitaani hususani Dar husukumwa na nini?

Hizi mambo ndio zinanifanya niwaze kurudi kuishi uswahilini
 
Ndo zetu uswazi hizi, bila vogodoro siku za weekend maisha hayaendi. Ila nachojiuliza mbona wacheza vigodoro/baikoko 99.9% wana majina ya Kiislam? Je, kuna uhusiano gani?
Asili ya watu wa pwani wengi ni waislam na Hizo ni ngoma za pwani mchaga na baikoko wap wap japo siku hizi watu wa bara waliozaliwa uswazi tunawaona wakisasambua
 
Asili ya watu wa pwani wengi ni waislam na Hizo ni ngoma za pwani mchaga na baikoko wap wap japo siku hizi watu wa bara waliozaliwa uswazi tunawaona wakisasambua
Huwezi kujitetea kwenye hilo kwasababu hata matusi mnafanana, usingekuwa na matusi ungeweza kunishawishi!
 
Wengi wanaocheza vigodoro wana majina ya Sikujua, Siyawezi, Sikudhani, Havitishi, Zawadi, Mwanakombo
 
Ndo zetu uswazi hizi, bila vogodoro siku za weekend maisha hayaendi. Ila nachojiuliza mbona wacheza vigodoro/baikoko 99.9% wana majina ya Kiislam? Je, kuna uhusiano gani?
Ndiyo uhusiano upo mkuu tena mkubwa tu
 
Huwezi kujitetea kwenye hilo kwasababu hata matusi mnafanana, usingekuwa na matusi ungeweza kunishawishi!

Tusi nitafsiri Yako Nikikwambia wewe Ndio uliaza kunitukana utakataa. Jadili Mada iliyopo achana na Mimi.

Sijawah kuwaunga mkono Hao wacheza vigodoro pambana na Hali yako Mkuu.
 
wadada wembemba nao sikuhiz wamevulugwa zamani ilikuwa nadra kukuta mwembamba anasasambua hivyo.
 
768997b10eb2faf306e422a3e4238911.jpg

Tabia ya wasichana kucheza utupu barabarani pindi wanapotembea na Kigoma/ Kigodoro unadhani husukumwa na nini? Funguka hapa.

Huenda mamlaka zilizopewa dhamana zinaneemekea humo, inashangaza watu wazima wanacheza uchi wa mnyama huku viongozi wa serikali za mtaa wapo na baadhi yao hualikwa kwenye hizo ngoma
 
Tafadhali ondoa hayo Maduara meusi kwny Picha hizo ili kutupa tafakuri Mujarrabu wachangiaji wako

Ni bora hayo Maduara meusi ungeficha kila kitu kwny Picha ukaacha hapo ulipofunika!

JF is where we dare to talk & watch openly!
We Mzee acha kuiga Vijana
 
Back
Top Bottom