Vigoma/Vigodoro Mitaani hususani Dar husukumwa na nini?

Vigoma/Vigodoro Mitaani hususani Dar husukumwa na nini?

Jiggy El Jefe

Senior Member
Joined
Aug 10, 2017
Posts
143
Reaction score
170
768997b10eb2faf306e422a3e4238911.jpg


Tabia ya wasichana kucheza utupu barabarani pindi wanapotembea na Kigoma/ Kigodoro unadhani husukumwa na nini? Funguka hapa.
 
Tafadhali ondoa hayo Maduara meusi kwny Picha hizo ili kutupa tafakuri Mujarrabu wachangiaji wako

Ni bora hayo Maduara meusi ungeficha kila kitu kwny Picha ukaacha hapo ulipofunika!

JF is where we dare to talk & watch openly!
 
Wacha weeeh! Usije ukasasambua hadharani bure maana unafanana nao
Umekuja kuchangia Mada, au unataka kulinganisha watu unachokitafuta soon Utakipata usijal Endelea
 
hawana hela za kwenda club, mikoa ya wazaramo, wanyamwezi, na watu wa tanga huo ni kama utamaduni wao, nikiwa shule enzi hizo nilikua natoroka naenda disko vumbi huko nabambia hadi wamama na wako na watoto wao halafu kids wanafurahia mama yao anavyobambiwa

ni ajabu sana
 
Ndo zetu uswazi hizi, bila vogodoro siku za weekend maisha hayaendi. Ila nachojiuliza mbona wacheza vigodoro/baikoko 99.9% wana majina ya Kiislam? Je, kuna uhusiano gani?
 
Kutafuta wanaume, kukosa shughuli ya kufanya...
 
[QUOTE="mpendua, post: 24327454, member: 413370"Wee viip? Unanipangia cha kusema ? Au ndo mapepo ya zainaby yameshakupanda?

Kahare huko Kama umebanwa usinichoshe Kwaheriiii[/QUOTE]
Ndo ufahamu wako ulipoishia?
 
Back
Top Bottom