MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,345
- 11,227
Inaonekana bwana Lipumba ameamua kukimbia meli kimya kimya.
Inavyoonekana wanataka kumfuata Hamad Rashid atakakoelekea
R.I.P CUF nduguyo Chadema atakufuata pia!
Barubaru na FF wamekula bann kwa mambo yao ya udini hapa jamvini
Walikuwa wanamchukulia poa hamad rashid, sasa ngoja awashughulikie hadi wakome.
Na inavyoonekana alikuwa na ushawishi mkubwa sana ndani ya cuf ndo maana bara wanajing'atua fasta fasta, pemba sijui bado wanamuogopa maalim huenda wangeshajitokeza hadharani na kutangaza kujitoa!
Tatizo kubwa ni cuf kukubali kushirikiana na ccm ukishashirikiana na ccm kamwe huwezi dumu
Rip ndugu zangu wenye sigda na suruali Fupi Fupi ( rev masa)
Na ninachompendea Hamad Rashid ni king'ang'anizi hakubali kushindwa.Yuko radhi hata auze mali zake ili kuizika CUF
Barubaru na FF wamekula bann kwa mambo yao ya udini hapa jamvini
Na cuf wasiposhtuka mapema watakuja kutahamaki wakute pemba yote iko mikononi mwa ccm.
Lakini kwakuwa wanasema saint maalim haguswi, wacha tuone mtanange utakavyoendelea.
Barubaru hajapigwa ban, alitangaza mwenyewe kujiengua toka JF. Nafikiri ameamua kukimbia baada ya mdini mwenzake FF kupigwa life ban!
Inaonekana bwana Lipumba ameamua kukimbia meli kimya kimya.
Huwa nakaaga kikao cha kupata kiraji na Michael Nyaruba, huyu ndio alikuwa Naibu katibu mkuu wa CUF Tanzania bara, akikueleza habari za CUF utashangaa sana ukiona Mtanganyika anaiunga mkono CUF.
CUF ni chama cha Wanzanzibar na Zanzibar ni nchi, ni waste of time kuijadili CUF hapa, ni sawa na kuijadili ODM au Zanu PF hapa.
Ndio matunda ya kushirikiana na chama cha mafisadi
Hakika CUF inakwenda kaburini
Kama Cuf kitakufa sasa nayo ccm si lazima itakufa? Kwa sababu mara nyingi mke anapofariki mme huendelea kudhoofika na mwisho naye hufariki kumfuata mkeo mautini. Kifo cha cuf ndiyo mauti ccm.
R.I.P CUF nduguyo Chadema atakufuata pia!
R.I.P CUF nduguyo Chadema atakufuata pia!