mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
Wapi Topical,Mpemba Mbishi,Jesuit,Mwiba wa Katani and others?
Tunataka kusikia neno moja tu kutoka kwenu....RIP CUF
Tunataka kusikia neno moja tu kutoka kwenu....RIP CUF
Maalim seif anatakiwa kutoka mafichoni kuokoa chama. Naona ukimya wake na huu mwendelezo wa kujitoa kwa wanachama hautakiwi kuachwa bila ufumbuzi. Kufikia 2015 chama cha CUF kinaweza kisiwepo tena.
Wapi Topical,Mpemba Mbishi,Jesuit,Mwiba wa Katani and others?
Tunataka kusikia neno moja tu kutoka kwenu....RIP CUF
R.I.P CUF nduguyo Chadema atakufuata pia!
Tunahitaji tukifika 2015 tuwe na vyama viwili tu, cdm kama chama tawala na ccm kama chama cha upinzani
nini mustakabali wao kisiasa au wameamua kuachana na siasa kabisa!! CUF is a dying horse!!it kicks very hard!!
karudia profession yake-kawaacha wafwata mkumbo wanasumbuana huku.Kwani Cuf haijafa tu? Lipu lipu lipu lipu lipumba!!!!!! Yuko wapi vile!
Mtatiro mapovu yanazidi kumtoka,hongereni kwa kujitoa CCM B ila mnafuata Hamad kwenye chama chake kipya.
karudia profession yake-kawaacha wafwata mkumbo wanasumbuana huku.
ndo mwisho wa CUF huu
Wapi Mangi Masta?
Wapi Topical?
Wapi Mpemba Mbishi?
Wapi Jesuit?...............RIP CUF
Viongozi mashuhuri wa CUF wamejitoa katika chama hicho leo.Viongozi hao ni aliyekuwa meneja kampeni wa Urais wa Lipumba Bw Said Miraji na aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Temeke kupitia CUF Bw Kadawi Lucas Limbu.Viongozi hao kwa pamoja wamesema wanajitoa CUF rasmi leo kutokana na vurugu kubwa zinazoendelea ndani ya chama hicho na pia wasingependa kuona chama hicho kikizikwa wakiwa bado wanachama.SOURCE: CHANEL TEN
Barubaru na FF wamekula bann kwa mambo yao ya udini hapa jamviniNa bosi wao Barubaru
Kwani Cuf haijafa tu? Lipu lipu lipu lipu lipumba!!!!!! Yuko wapi vile!
Wamehamia wapi jama wafanye fasta waje huku kwetu
kwetu pazuuuri nimeshapakumbuuka
R.I.P CUF nduguyo Chadema atakufuata pia!
Masahihisho kidogo, ni Kadawi Lucas Limbu, aliyegombea Temeke.
Lakini bado utamsikia mtatiro akijibodoa kwamba bora wameondoka wenyewe kwakuwa baraza kuu lilikuwa na mpango wa kuwafukuza.
Ukimsikiliza ismail justa atakwambia hao ni wakristo ndio sababu wameamua kujiengua!
Cuf kinakwenda kaburini, la sivyo maalim seif aachie ngazi kama anakipenda chama chake!
R.I.P CUF nduguyo Chadema atakufuata pia!
R.I.P CUF nduguyo Chadema atakufuata pia!