Vigogo kumvua ubunge Shibuda

Vigogo kumvua ubunge Shibuda

Jua ni Jua na mwezi ni mwezi lakini Jua ni nyota na mwezi ni satelaiti. Haya twende.....
 
Mimi naunga mkono hoja, madame tumeshamjua na hila zake, njia sahihi ni kumpuuza. Tukimfukuza atalitumia jukwaa atatuumiza. Chadema, kwa hili tumieni busara kubwa Shibuda ana nguvu sana kwa wasukuma na huu ndio ukweli

Hakuna lolote............. ana nguvu tu jimboni kwao. Huyu bwana ni mtu wa tamaa kama hajachanganyikiwa. Hata alipokuwa CCM ambako huwa wanadai imewalea na kusahau ni jinsi gani wazazi wao walivyosota kuwalea nako alikuwa anawaletea matatizo.
 
I hate to say "I told you so" CHADEMA.

But I told you so.

Mlionifuatilia wakati ule nilivyopinga Shibuda kupewa nafasi kugombea ubunge kwa haraka sasa hivi ndio nilichokitabiri kinatimia.
 
Japo hakuna sababu yoyote nzito mpaka sasa iliyothibitishwa kutosha kumfukuza John Shibuda , lakini nakupa angalizo kuwa hizo nguvu unazosema Shibuda anazo , hana ! Na ukiambiwa thibitisha unachokisema hutaweza ,

Hizo nguvu unazozisema hana ninatumaini hiyo habari utakuwa huipati kupitia mitandao na vijiwe vya kahawa au watu wachache ndani ya chama ambao uoni wao uko blurred na propoganda za kijasusi.

Hivi matatizo ya Mh. john Shibuda na baadhi ya viongozi "wakuu" yameanza leo au jana. Na kama sivyo, mbona hajashughulikiwa mpaka leo kwa 'mujibu wa Katiba, kanuni, maadili, miongozo, taratibu na itifaki za chama. Kinachofanyika ni propoganda na kelele ambazo hazina action?. Think.

kwani Cdm ina Majimbo Mangapi kwenye hiyo kanda ya ziwa ? Usisifie usichokijua ,

Kwani unafahamu input Mh. John Shibuda aliyoiweka mpaka kupatikana kwa hayo majimbo.

kwa taarifa yako bila Cdm huyo Shibuda wako angefungwa jela 2010 ( kwa hisani ya Robert Kisena ) ! You know the name ? Fisadi wa UDA aliyediriki kumchapa vibao OCD , lakini hadi leo anadunda ! Fuatilia utajua , Ndiyo maana wahenga wanashangaa John Shibuda anakopata ujasiri wa kuponda CDM ! Amesahau au amesahaulishwa ?

Acha kuleta maongezi ya vijiweni hapa. Mh. john Shibuda anadunda mitaani si kwa hisani ya mtu yeyote bali kwa kutokuvunja sheria ya Nchi. Sheria ya Nchi haihitaji hisani ya mtu kuwa exercised.
 
MBUNGE wa Maswa Magharibi, John Shibuda, anaweza kupoteza ubunge wakati wowote , Raia Mwema, limeelezwa.

Hiyo inatokana na chama chake, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kumtuhumu kwa kukihujumu na hivyo kupanga kumvua uanachama. Mbunge akikoma kuwa mwanachama wa chama kilichomsimamisha, anakoma kuwa mbunge...

More: Raia Mwema - Vigogo kumvua ubunge Shibuda
wanamuogopa.hawawezi kumfanya lolote.
 
Mimi naunga mkono hoja, madame tumeshamjua na hila zake, njia sahihi ni kumpuuza. Tukimfukuza atalitumia jukwaa atatuumiza. Chadema, kwa hili tumieni busara kubwa Shibuda ana nguvu sana kwa wasukuma na huu ndio ukweli
kwa hiyo kila mwenye nguvu kwenye kabila lake akifanya ujinga aachwe? Acheni hizo,mtu anahukumiwa kutokana na makosa yake na si dini yake au kabila lake!
 
Mmelewa sifa mfukuzeni na nyinyi mupotee kwenye ulimwengu wa siasa.
 
Hizo nguvu unazozisema hana ninatumaini hiyo habari utakuwa huipati kupitia mitandao na vijiwe vya kahawa au watu wachache ndani ya chama ambao uoni wao uko blurred na propoganda za kijasusi.

Hivi matatizo ya Mh. john Shibuda na baadhi ya viongozi "wakuu" yameanza leo au jana. Na kama sivyo, mbona hajashughulikiwa mpaka leo kwa 'mujibu wa Katiba, kanuni, maadili, miongozo, taratibu na itifaki za chama. Kinachofanyika ni propoganda na kelele ambazo hazina action?. Think.

Kwani unafahamu input Mh. John Shibuda aliyoiweka mpaka kupatikana kwa hayo majimbo.

Acha kuleta maongezi ya vijiweni hapa. Mh. john Shibuda anadunda mitaani si kwa hisani ya mtu yeyote bali kwa kutokuvunja sheria ya Nchi. Sheria ya Nchi haihitaji hisani ya mtu kuwa exercised.[/QUOTE

Chadema is an institution not personality based. Hakuna mtu aliye juu ya Chadema.
 
Hizo nguvu unazozisema hana ninatumaini hiyo habari utakuwa huipati kupitia mitandao na vijiwe vya kahawa au watu wachache ndani ya chama ambao uoni wao uko blurred na propoganda za kijasusi.

Hivi matatizo ya Mh. john Shibuda na baadhi ya viongozi "wakuu" yameanza leo au jana. Na kama sivyo, mbona hajashughulikiwa mpaka leo kwa 'mujibu wa Katiba, kanuni, maadili, miongozo, taratibu na itifaki za chama. Kinachofanyika ni propoganda na kelele ambazo hazina action?. Think.

Kwani unafahamu input Mh. John Shibuda aliyoiweka mpaka kupatikana kwa hayo majimbo.

Acha kuleta maongezi ya vijiweni hapa. Mh. john Shibuda anadunda mitaani si kwa hisani ya mtu yeyote bali kwa kutokuvunja sheria ya Nchi. Sheria ya Nchi haihitaji hisani ya mtu kuwa exercised.

Mara zote wanaozidiwa na hoja hudai wenzao wanapata data vijiweni nk , kwa vile Jf kila mtu ana uhuru wa kuongea basi tuendelee kwa kila anayeamini aendelee kuamini anachokiamini , Bali hakuna Aliye mkuu kuliko CDM , kuwavumilia wenye Mapungufu ni Mkakati tu , unapaswa kujua kuwa ushindi wa CDM kanda ya ziwa ulikuwa dhahiri, Shibuda aliyekuja Cdm A week before kick off mchango wake ni kama kumwaga kikombe cha maji baharini !
 
Chadema is an institution not personality based. Hakuna mtu aliye juu ya Chadema.

Theoretically, your absolutely collect. Practically, a tell tales is for every one to see.

The fundamental principle of absolute truth is to withstand any propaganda for prerogative. That's unearthing within CHADEMA machinery
 
Anasubiri tu mkimvua anakimbilia kortini ,nae anaendelea kuwa mwanachama na mbunge wa Mahakama!hadi week kabla uchaguzi mahakama inaridhia kuwa kweli alistahili kufukuzwa uanachama!basi anatoka rasmi anahamia chama kingine

.
Kumbe mahakama zetu ndio jalala la kujifichia waovu? Wanajijua kama wanatumika? Au pamoja na ukariri wao wa sheria hawajijui? Ngoja na mimi niwatumie mahakama kuweka stop order ya niliyemuuzia shamba asilitumie. Kipindi cha kuutafuta ukweli nitakuwa nshavuma mazao misimu kadhaa.
.
 
Mara zote wanaozidiwa na hoja hudai wenzao wanapata data vijiweni nk , kwa vile Jf kila mtu ana uhuru wa kuongea basi tuendelee kwa kila anayeamini aendelee kuamini anachokiamini , Bali hakuna Aliye mkuu kuliko CDM , kuwavumilia wenye Mapungufu ni Mkakati tu , unapaswa kujua kuwa ushindi wa CDM kanda ya ziwa ulikuwa dhahiri, Shibuda aliyekuja Cdm A week before kick off mchango wake ni kama kumwaga kikombe cha maji baharini !

Mkuu,
Ninakuelewa lengo na madhumuni ya hoja yako. Unatengeneza Character assassination kwanza ili aonekane si lolote halafu ndiyo unajenga hoja. That clever!.

Ni kweli hata kabla ya Mh. John Shibuda hajakaribishwa CDM, chama kilikuwa kiko popular Kanda ya ziwa lakini siyo kwa kipimo unachopenda kiwe, lakini pia Ukweli utabakia ni ukweli, huwezi kuipima input yake kwa kiwango hiki unachosema "kikombe cha maji baharini".

Certainly, katika CHADEMA, kuna watu ambao wako juu ya chama na wengine sivyo. Sijapata kuona katika taasisi iliyomakini (CHADEMA) kama inavyotaka ieleweke inaweza kuchelewesha maamuzi muhimu kama ya uvunjaji wa Katiba, kanuni, maadili, miongozo, taratibu na itifaki za chama kama inavyodaiwa ili kujipanga kimkakati. Nina maana kwa muda gani huku kosa likiendelea kufanyika. Huoni kama hiyo ni dalili ya woga katika maamuzi.
 
namta wamaliza kipind hiki.timuen fanyen faster wajombaa wakazipunguze kura za dr
 
mwache tu kwa sasa asogeze siku kwa kupeperusha bendela ya CDM, bilashaka ameishaeleweka kwa kila mmoja: nia yake si njema kwa taifa bali kwa familia yake tu. ata CCM hilo walilijua mapema na ndo maana waliamua kumtosa kwenye kura za maoni katika harakati za uchaguzi mkuu 2010.
 
bora wamfukuze muua panya wamuache huyu mburura shibuda mzee wa mipasho hadi amalize mda wake, shibuda hana madhara.....
 
Back
Top Bottom