Vigezo waotumia TRA kumkadiria mtu anayetaka kuanzisha biashara

kadinali JM

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
379
304
Habari za jumapili wanajf I hope mko poa na jumapili inaenda salama,
Jamani ee Mimi nataka kwanza biashara ya kuuza vifaa vya Umeme huku mitaani kwa rejareja nimepata kamtaji ka laki 6 wa kuanzia nao, sasa nataka kwenda kuchukua TIN, sasa swali langu ni hili Kule TRA naskia kodi utakayotakiwa kulipa wanakukadira sasa je wanatumia vigezo gani kukadiria hiyo kodi nitakayotakiwa kulipa baada ya kwanza biashara?
Na kama wanakadira hawaoni kwamba MTU unaweza ukawa na mtaji Mdogo wakakukadiria kodi kubwa?
Swali jingine: kwa Mimi mwenye mtaji huu wa laki 6 nitakadiriwa kulipa kodi kiasi gani? Ninaamini kuna wataalam wazuri wa biashara humu pamoja na maafisa wa TRA kwa hiyo please naombeni majibu pamoja na maelekezo mazuri ili niendelee na maamuzi yangu, sitanii niko serious kabisa
 
Back
Top Bottom