Vigezo vipi huhitajika kuwa Afisa wa usalama wa taifa Tanzania?


jsenyinah

jsenyinah

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
249
Points
500
jsenyinah

jsenyinah

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
249 500
Wapendwa, ni matumaini yangu kwamba weekend inaisha salama kabisa huku wengi wetu tukiwa majumbani tukiwa na familia zetu.

Nimewaza kwa sauti kali, ni taaribu gani hutumika ili mtu akidhi vigezo vya kuwa Afisa usalama wa Ofisi ya Rais, hasa kutembea na mkulu na kujua usalama wake? Hao watu nao familia zao zina makazi Ikulu au mtaani tu kama sisi? Hawa watu wana mafunzo yaliyofikia ngazi ipi?

Maana na mimi nina hiyo ambition.

Msaada tafadhali
 
mikatabafeki

mikatabafeki

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
12,827
Points
2,000
mikatabafeki

mikatabafeki

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
12,827 2,000
Nenda jukwaa la intelijensia utapata majibu yote haya kwa kina
 
mikatabafeki

mikatabafeki

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
12,827
Points
2,000
mikatabafeki

mikatabafeki

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
12,827 2,000
Kuna thread nyingi ana kule ambazo ziianzishwa na kujibiwa kwa kina
 
Dindira

Dindira

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Messages
2,821
Points
2,000
Dindira

Dindira

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2016
2,821 2,000
Jiunge na Jkt. Uwe na nidhamu na ukakama na uive kwa kuipenda nchi. Uwe mtanzania. Uwe na abgalau elimu ya form six.
 
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
10,658
Points
2,000
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
10,658 2,000
Dah...nasikia lazima ukapikwe kwa prof. mshana jr... nimesikia tu
 
randez vous

randez vous

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Messages
896
Points
1,000
Age
48
randez vous

randez vous

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2016
896 1,000
Muone y.nyerere anafundisha tuition ya hayo mambo
 
xav bero

xav bero

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2016
Messages
4,970
Points
2,000
Age
39
xav bero

xav bero

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2016
4,970 2,000
Ni ngumu kujua kama upo nje ya mfumo wao,,,Ila wanachukua watu smart kidogo Ila usiwe mbea mbea
 
zugimlole

zugimlole

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Messages
1,872
Points
2,000
zugimlole

zugimlole

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2012
1,872 2,000
Wewe ni mgeni humu Jf?

Jukwaa la intelligence lipo fukunyua kila kitu kipo wazi huko

Usisahau kuku mweusi na mchanga wa baharini kwa ajili ya kujiunga
 
Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Messages
16,325
Points
2,000
Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2014
16,325 2,000
Sijui ni kwanini vijana wengi siku hizi wanaipenda kazi ya TISS

Huwezi kujijua wewe mwenyewe kama unavyo vigezo!!


Ungekuwa na hivyo vingezo usingevuka kidato cha nne au cha sita tayari ungekuwa umesha chukuliwa!!

Kama umesha maliza chuo nenda kalale uote ndoto nyingine maanake hii imesha kuwa valid!

Ndoto yangu kubwa ilikuwa nije kuwa mwanajeshi ikaja ikawa valid dream, nikaamua kulala nikaota ndoto nyingine now i live
in my dream
 
KAFA.cOm

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2013
Messages
1,306
Points
2,000
KAFA.cOm

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2013
1,306 2,000
Kuwa mwanachama halisi wa ccm.
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
23,979
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
23,979 2,000
Unataka kuzijua hizo taarifa kirahisi hivi...
 

Forum statistics

Threads 1,285,452
Members 494,621
Posts 30,862,728
Top