Vigezo vipi huhitajika kuwa Afisa wa usalama wa taifa Tanzania?

jsenyinah

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
249
338
Wapendwa, ni matumaini yangu kwamba weekend inaisha salama kabisa huku wengi wetu tukiwa majumbani tukiwa na familia zetu.

Nimewaza kwa sauti kali, ni taaribu gani hutumika ili mtu akidhi vigezo vya kuwa Afisa usalama wa Ofisi ya Rais, hasa kutembea na mkulu na kujua usalama wake? Hao watu nao familia zao zina makazi Ikulu au mtaani tu kama sisi? Hawa watu wana mafunzo yaliyofikia ngazi ipi?

Maana na mimi nina hiyo ambition.

Msaada tafadhali
 
Wewe ni mgeni humu Jf?

Jukwaa la intelligence lipo fukunyua kila kitu kipo wazi huko

Usisahau kuku mweusi na mchanga wa baharini kwa ajili ya kujiunga
 
Sijui ni kwanini vijana wengi siku hizi wanaipenda kazi ya TISS

Huwezi kujijua wewe mwenyewe kama unavyo vigezo!!


Ungekuwa na hivyo vingezo usingevuka kidato cha nne au cha sita tayari ungekuwa umesha chukuliwa!!

Kama umesha maliza chuo nenda kalale uote ndoto nyingine maanake hii imesha kuwa valid!

Ndoto yangu kubwa ilikuwa nije kuwa mwanajeshi ikaja ikawa valid dream, nikaamua kulala nikaota ndoto nyingine now i live
in my dream
 
Back
Top Bottom