proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,352
- 11,234
Njoo chap nipo mimi hapa
na wewe una nini kunidizevu mimi mwenye hivi vyote?Kama we ni mwanaume mweupe, una miaka 32-35 una kazi ya kuajiliwa, mkristu,huna UKIMWI,wala UTI sugu, huna familia upo mkoa wa Ruvuma nicheki inbox tuyajenge.
Karibu nimechoka kuwa single, na uwe mu hand some.
Kaka zako hawana hizo sifa?Kama we ni mwanaume mweupe, una miaka 32-35 una kazi ya kuajiliwa, mkristu,huna UKIMWI,wala UTI sugu, huna familia upo mkoa wa Ruvuma nicheki inbox tuyajenge.
Karibu nimechoka kuwa single, na uwe mu hand some.