Kwanza kabisa habari za muda huu wana JF
Nina mpango wa kugombea udiwani ifikapo mwaka 2030 nilikuwa nataka kujua mwenye uelewa masharti na vigezo ili niipate hii nafasi
Gentleman,
in fact, kwa uchache sana,
ni muhimu sana kujiandaa kikamilifu kujieleza sana mbele ya wananchi kua wewe ni nani kijamii, kisiasa na kiuchumi tofauti na wengine. And what is so special to you than others.
Lakini pia,
tayari utakuta kuna vigezo na masharti vya chama cha siasa, utakachotumia kugombea nafasi hiyo ya udiwani, kabla ya kukutana na masharti rahisi mno ya kikatiba ambayo yanasimamiwa na tume huru ya Taifa ya uchaguzi.
Usisahau kua,
Elections are expensive processes in nature,
so ni vizuri kujipanga na kujizatiti vizuri kiuchumi. With your expenses, you must create a strategic and campaign winning team
Kumbuka,
Elections are all about interests.
What really inspired you to contest for the position? what are your interests for the position?
To save the interest of common mwananchi or to save your personal, or family interests? Prepare properly to explain your interests to voters.
Elections are all about policies and planns in regards to the priorities of the common mwananchi you are intending to lead. What are your plans and how will you use them in resolving the common mwananchi priorities compared to your opponents?
Elections competitions composed of a winner and a looser. Prepare saikolojikali on those outcomes. In fact prepared two beautiful speeches, a winning speech and a loosing. These will show up your maturity in politics and no any of those outcomes will confuse you 🐒