Vigelegele vya mashabiki, chali (horizontallity)

Smart-brain

Senior Member
Mar 17, 2014
101
62
"Msema kweli ni mpenzi wa Mungu"! Usemi huu si mpya tena kwetu! Japokuwa hata Teja anaweza sema kweli wakati fulani, ila kwa tabia na matendo yake, hayampi guarantee Teja huyo kuingilia Mbinguni/ Peponi!
"Ukweli una tabia moja mzuri sana. Haujali wala mdogo; haujali adui wala rafiki. Kwake watu wote ni sawa. Pia ukweli unayo tabia ya kijilipiza kisasi kama ukipuuzwa. Ukiniona nataka kupiga teke jiwe kwa kuwa nafikiri kwa kuwa ni dogo au mpira, matumaini utanionya. Lakini nikilipuuza onyo lako kwa sababu eti wewe ni mdogo au kwa sababu sikupendi, nitalipiga teke, basi litanivunja dole japo ningekuwa nani. Ukweli haupendi kupuuzwapuuzwa! (Source: TUJISAHIHISHE, JULIUS K.NYERERE, RAIS WA TANU, Dar es Salaam, May, 1962).
Daktari "MBULULA" anaweza kumtumbukiza "Mgonjwa wake" mwenye Malaria ktk Sufuria kubwa lenye maji ya Moto ( yanayochemka), ili tu kuua vijidudu vya Malaria vinavyomsumbua mgonjwa huyo! Kiongozi " kilaza" hana reasoning skills , hukurupuka bila kujali utaratibu! Hufikiri kila maarifa anayo just because you're Prof./Dr.
Note: Mwenye kisu kikali, ndiye atakula nyama, sasa "nyama" hakuna, uko tayari kula nyama ya mguu/ mkono wako wenyewe???
Viwanda vimegeuka story, madawa Hospitalini ni kizungumkuti, deni la taifa juu, bei ya vyakula inaendelea kugrow ascendinglly, huku na huku tishio la vikwazo, mishahara ndo hivyo tena, ajira ni majanga, siasa ndo " ➕⚰, ect. Waliopiga vigelegele, nao wanaisoma "NAMBA"!
" Sijui kwenye kale kamsemo, idadi ya waliokuwa wanaishi kama malaika pepino inaongezeka/pungua???? Au wale waliokuwa wanaishi kama mashetani nayo inapungua/ongezeka?????
"TUTAYAONA NA KUYASIKIA MENGI"!
 
Wameyataka wenyewe

Hoyeee Magufuli Hoyeee CCM...acha waandamane, hakika nchi imetulia inzi ndiyo warukao.
 
wacha tuisome namba tu, nataka huyu awe wa maisha ili hata zito kabwe waliokuwa wanampigia kampeni waisome namba
 
Haya ndio madhala ya kumchagua mtu aliyepitia kwenye shida nyingi awe kiongozi wenu.

Wakati mwingine anaweza asiamini kama wengine wanashida mpaka aone kama wanashida alizozipitia yeye.
 
Inabidi ifike mahali hata Rais awe anajinunulia mahitaji yake kutokana na mshahara wake.Vinginevyo kwa kipindi chote cha URAIS asilipwe mshahara maana kila kitu anapewa.

Na kwa sababu hii wanajiona ni miung watu
 
Duh! Watasema "... anayo majukumu mengi ya kitaifa, hivyo si vema kama nchi tukafanya hivyo ..."!
 
Hata Marekani Rais analipia gharama zake binafsi.Tusiendekeze ujinga its high time hawa watawala wakaanza kutambua gharama zinazotukabili RAIA wao,ndipo tutaona matumizi mazuri ya raslimali zetu,vinginevyo tutakuwa tunaibiwa kila siku
 
Hoyeee Magufuli Hoyeee CCM...acha waandamane, hakika nchi imetulia inzi ndiyo warukao.
Shangwe ya waovu ni ya kitambo tu! Waovu ktk uovu wao, hawawezi kutenda mema yoyote ( ni kujibaraguza) ili wapate "KUJIDANGANYA NAFSINI MWAO"! Nzi HASA, ni CCM, ambao (muda huu) wanafanya mikutani huku kwetu, wakipiga kelele wakati mikutano ilizuiwa! Smart people huwa tunatoa FACTS, hatuwashawishi watu kwa nyimbo za KOMBA (T.O.T).
 
Hata Marekani Rais analipia gharama zake binafsi.Tusiendekeze ujinga its high time hawa watawala wakaanza kutambua gharama zinazotukabili RAIA wao,ndipo tutaona matumizi mazuri ya raslimali zetu,vinginevyo tutakuwa tunaibiwa kila siku
True kabisa! Shida ni kwamba, tunaojua vitu hivi ni wachache, ila kitaeleweka tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom