Vigelegele vya mashabiki, chali (horizontallity)

unampa kichaa rungu unategemea nini.

J kikwete nae ashapgwa rungu kuwa anawashwawashwa sembuse sisi.
Sasa wenzako wanasema eti ndiye Mwl. Nyerere aliyetutabiria! SHAME!! Au ndo Nyerere wa sasa, hovyooo!! Kichaa ikipewa rungu, ni maangamizi tu, nothing else!!!
 
Labda tupate wabunge wenye mlengo wa UTAIFA siyo hawa akina Nkamia wanaofikiria tumbo lao tu
Ambao TWAWEZA walishawalipua! Na hakunaga UZALENDO (upendo kwa Taifa) wa kulazimishana, una toka moyoni! Shida iliyopo, tukifika 2019, wengi wanasahau yoooooooooote, yaani lile "LI-MWENGE" likishapita tu, ni shidaa!
 
Haya ndio madhala ya kumchagua mtu aliyepitia kwenye shida nyingi awe kiongozi wenu.

Wakati mwingine anaweza asiamini kama wengine wanashida mpaka aone kama wanashida alizozipitia yeye.
Ndo maana anataka kuongeza idadi watakaoishi kama " mashetani" hata kama mtu alijitafutia kihalali! Tunarudishwa kwenye karne ya 3!
 
Ambao TWAWEZA walishawalipua! Na hakunaga UZALENDO (upendo kwa Taifa) wa kulazimishana, una toka moyoni! Shida iliyopo, tukifika 2019, wengi wanasahau yoooooooooote, yaani lile "LI-MWENGE" likishapita tu, ni shidaa!

Na hapa ni lazima ule Mwenge tuupige chini.Ushirikina pia unatusumbua sana
 
Angalia msije kutuaminisha kuwa ni matokeo ya 'kisomo' cha ijumaa iliyopita!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom