Vifurushi vya Vodacom vyarejea

Wakuu wasalam !nimeona mabadiliko kweny vifurushi hususan internet kwa shilling elf 3000 unapata gb3 week nzima awali nilikuwa napata gb 1.2 kwa week
Hii inaweza kuwa nafuu kwangu mm

Cjui kwako *149*03# Zama ujionee
Baba hamia kwa jirani utaona tofauti
 
Tushatupa line mtaroni siku nyingi
 
Wakuu wasalam !nimeona mabadiliko kweny vifurushi hususan internet kwa shilling elf 3000 unapata gb3 week nzima awali nilikuwa napata gb 1.2 kwa week
Hii inaweza kuwa nafuu kwangu mm

Cjui kwako *149*03# Zama ujionee
Sio kweli kabisa
 
Hapo vip sasa mbn wametisha mnoo elf mbilli unapata 3.5 gb
149*03# nenda nmb mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…