Vifurushi vya Azam

julaibibi

JF-Expert Member
Jun 16, 2020
2,606
3,399
Kwa kweli nikiri mim ni mpenzi mkubwa wa movie za kihindi ila mnachotufanyia!! nashauri huyo kijana aliye categories chanel arudi upya.

Haiwezekani packages ya elfu 18 chanel za indian ni MTV Bollywood tu na takataka gani sijui colors. Yani kaona akiweka hata star gold tutapata sana.

Huko kwenye movies nako MBC 2 cha elfu 18 hola imeachwa sineme zetu!! yani mbc 2 isiwepo.package y a elfu 18 ??? kweli??? Tizameni upya kwa kweli inauma sana.
 
Kuna siku nimeweka Cha 18 Mbc 2,Mbc Action na za movie zote hola.Nikawacheki wakaniambia waliweka kwa majaribio Sasa hivi mpaka Cha 23 mwezi niliuona mkubwa Sana hasa ulevi Wangu ni Movie.

Nafikiri Azam walitafakari upya hili 23/28 parefu Sana kwa sisi walevi wa movie.
 
Azam bhn wananiacha hoi kuna channel moja nazan ni channel E kwn startimes ya antena nilikua naipata free kabisa ajabu wao hata kifurushi cha elf 18 hakifungui hiyo channel
 
Azam bhn wanatukamata kwene mpira ligi yetu ya Tz hapo kwakweli hatunapakutokea ila kwa wateja ambao sio wapenzi wampira naona hawawafanyii fea mana itamlazimu kulipia kuanzia kifurushi cha elf 23 anagalau kupata channel nzur
 
Azam bhn wananiacha hoi kuna channel moja nazan ni channel E kwn startimes ya antena nilikua naipata free kabisa ajabu wao hata kifurushi cha elf 18 hakifungui hiyo channel
Hivi hii channel yet ya e Yale Mambo ya Kila ijumaa mbaka jpili ya Kamasutra yapo au hamna siku hizi maana sijaihangalia iyo change mda kidogo
 
Kwa kweli nikiri mim ni mpenzi mkubwa wa movie za kihindi ila mnachotufanyia!! nashauri huyo kijana aliye categories chanel arudi upya.

Haiwezekani packages ya elfu 18 chanel za indian ni MTV Bollywood tu na takataka gani sijui colors. Yani kaona akiweka hata star gold tutapata sana.

Huko kwenye movies nako MBC 2 cha elfu 18 hola imeachwa sineme zetu!! yani mbc 2 isiwepo.package y a elfu 18 ??? kweli??? Tizameni upya kwa kweli inauma sana.
Watu tumeumbwa tofauti katika tamthilia za ajabu ambazo naziona hazina maudhui yoyote ni za kihindi hata wakitafsiri kwa kiswahili huwa kama wanaimba mashairi yasio na mpangilio... zinafanana na za kibongo ambazo zimejaa mavichekesho yasiokuwa na muunganiko na main thiem
 
Hivi hii channel yet ya e Yale Mambo ya Kila ijumaa mbaka jpili ya Kamasutra yapo au hamna siku hizi maana sijaihangalia iyo change mda kidogo
Nami sijaiangalia kwa muda sasa mana nilipohamia kingamuzi cha antena ya mwiba wasamaki kinasumbua kupata sigal ndonikajikuta nimehamia kabisa azam
 
Hivi hii channel yet ya e Yale Mambo ya Kila ijumaa mbaka jpili ya Kamasutra yapo au hamna siku hizi maana sijaihangalia iyo change mda kidogo
Hazipo siku hizi walishaziondoa,,
Nilikua silali kabisa aisee,, namisi sana zile siku hasa yule mdada wa kipindi cha bahati nasibu na vinguo vyake vya mitego wakati mwingine avue kabisa abaki matiti nje,
 
Sasa hivi hata ukilipa full 28 chanel za movie za maana utazisikia tu na hawa bila mpira wa bongo watafulia mbaya
 
wajiangalie kwa kweli.package ya 18 haina tofaut na elfu 10. kea mfano kids.pale kwa package ya elfu 18 wameacha chanel 1 tu zote wamefunga.Nickolodeon imefungwa.baby tv imefungwa.sijui nin imefungwa.najuta kulipa elfu 18 bora niingelipa nibak na chanel za free
 
Dah yaani azam kwakweli sina hamu nao, yaani natamani startimes waanza kurusha ligi ya bongo, wapuuzi sana hawa watu!! Yaani kuwa mpenz wa simba ndio kumeniponza hadi kununua hiki king'amuzi!!
 
Wapuuzi sana hawa watu ,dawa yao ni kukomaa na TV za bure hata vile vifurushi vya book ten visinunuliwe ili akili iwakae sawa, yaani chumba cha kuishi nilipe elf /15/20 alafu ninunue kifurushi chanTV elf 23 siyo rahis
 
Hazipo siku hizi walishaziondoa,,
Nilikua silali kabisa aisee,, namisi sana zile siku hasa yule mdada wa kipindi cha bahati nasibu na vinguo vyake vya mitego wakati mwingine avue kabisa abaki matiti nje,
Ilikuwa balaa na nusu ndugu yangu,yaani unakuta love story sijui wanaibiana mabwana na wake zao full sex bila chenga,nakumbuka Kuna moja demu alikuwa haridhishwi kitandani Kila dume halimfikishi mwishoni demu akakutana na fundi gereji ebwanaa nomaa,sema jina la hiyo movie limenitoka kabisa
 
Asante nimepokea ombi lako nitalifikisha ofisin lakin ili nijiridhishe kweli Ni mdau wetu hebu imba kwanza kuchi kuchi kama kweli unapenda hizo movie
 
Back
Top Bottom