Vifurushi vya Airtel vya chuo vimeondolewa

Vifurushi vya Airtel vya chuo vimeondolewa

Sio kwamba wamebadili tu menyu!? Kwenye *149*81# naona bado wapo.
 
Bahati yao kuna Mfumo wa "biometric registration" huu upuuzi wa mitandao ya simu kupandisha bei ya vifurushi Ulikuwa unanifanya niwe nasajili kila week Laini special for Internet use lakini kikiisha kile kifurushi cha ofa ya usajili na mie Laini inaisha muda wake wa Matumizi(NATUPA LINE)naenda kusajili laini Nyingine.
 
Back
Top Bottom