Vifurushi vya Airtel vya chuo vimeondolewa

Vifurushi vya Airtel vya chuo vimeondolewa

Wameniuz sana kesho narud zangu ttcl sitaki shida

Hii vocha ya buku niliyoweka leo ndo ya mwisho
Mkuu nilikuwa nataka kuanzisha thread kuwaambia Airtel wanaenda kupoteza wateja wao muhimu loyal customers hasa watumiaji wa kile kifurushi cha Uni cha Siku 3 1GB@1000/-. mara nikaona hii thread.
Hawa jamaa watajutia huu uhamuzi wao.

Watu tuna miaka mingi Airtel sababu ya vifurushi vyao vya uhakika vinavyo unganisha Data na Muda wa maongezi.

Narudi kwenye line zangu za mitandao mingine, kama vipi naenda TTCL kabisa nasikia nyumbani kumenoga.
 
Mimi nilikuwa napandishia tu hiki kifurushi hata mara 3 kwa siku, hakuna siku SIM yangu haina kifurushi cha data cha Airtel cha UNI.

Unakuta midakika kibao siitumii, ikitokea dharula ndio naitumia.
Sasa wanatulazimisha tununue data na muda wa maongezi kivyake vyake tena kwa bei ghali.
Hili tatizo la kupotea pesa mitaani hawalioni?

Au wana hasira na mwanasheria alie washitaki kutukata airtime likiisha data bundle?
Hasira zenu mtaona faida yake, hasira za mteja hasara kwenu sababu sisi wateja tuna chaguo jingine ambalo ni Halotel na TTCL.
 
Mkuu mimi miaka yote natumia ttcl lakin nilihamia air tell sababu ya vifurushi vya chuo hasa hicho cha siku tatu one gb, leo nimenunua vocha nijiunge nashangaa naona mapicha picha imenibidi tu niwe mpole

Lakin leo ndo nimeweka vocha kwa mara ya mwisho kwenye line ya air tell kesho asubuh naivunja maana sina kabisa mpango nayo
Mkuu nilikuwa nataka kuanzisha thread kuwaambia Airtel wanaenda kupoteza wateja wao muhimu loyal customers hasa watumiaji wa kile kifurushi cha Uni cha Siku 3 1GB@1000/-. mara nikaona hii thread.
Hawa jamaa watajutia huu uhamuzi wao.

Watu tuna miaka mingi Airtel sababu ya vifurushi vyao vya uhakika vinavyo unganisha Data na Muda wa maongezi.

Narudi kwenye line zangu za mitandao mingine, kama vipi naenda TTCL kabisa nasikia nyumbani kumenoga.
 
Mkuu nilikuwa nataka kuanzisha thread kuwaambia Airtel wanaenda kupoteza wateja wao muhimu loyal customers hasa watumiaji wa kile kifurushi cha Uni cha Siku 3 1GB@1000/-. mara nikaona hii thread.
Hawa jamaa watajutia huu uhamuzi wao.

Watu tuna miaka mingi Airtel sababu ya vifurushi vyao vya uhakika vinavyo unganisha Data na Muda wa maongezi.

Narudi kwenye line zangu za mitandao mingine, kama vipi naenda TTCL kabisa nasikia nyumbani kumenoga.
Kuna Mdau hapo juu kasema wanashirikiana sana hawa jamaa wa mitandao.

Hapo ukikimbia voda nako hakukaliki, hivyo hao tigo, ttcl, halotel ni jambo la muda tu.

Mkilalamika sana yule Jamaa akipata habari mtamsikia "kama Mtu anaona huduma ni aghali akaanzishe mtandao wake"
 
Mimi mbona ya kwangu bado kipo?wakiondoa na sisi tunafanya mgomo. Tusikubali kila aliyefutiwa kifurushi aachane nakuweka vocha kwenye hiyo lain kwa muda ili waone wanavopoteza wateja. Tuungane hata kwenye social media zingine kupinga huu wizi.
#airtelrudishakifurushichetu
 
dah kweli aseee sema bado airtel itakua option pekee kwangu kwa "voice call"

Data situmiii yao so mi nawambia waendelee tu kuhangaika.
 
Hata mimi nimeona UNI ya 1000 imeondoka, nikajiuliza hivi huwa wanapata loss ndio wanaamua kuondoa ama?
 
Mimi mbona bado icho kifurushi bado kipo au wanatoa kwa awamu zamu yng bado mana bado nakula 1gb kwa siku 3 ila kama wakitoa basi ntaungana na wadau kwenye mitandao mingine mana laini tayari za mitandao yote ninazo
 
Kuna Mdau hapo juu kasema wanashirikiana sana hawa jamaa wa mitandao.

Hapo ukikimbia voda nako hakukaliki, hivyo hao tigo, ttcl, halotel ni jambo la muda tu.

Mkilalamika sana yule Jamaa akipata habari mtamsikia "kama Mtu anaona huduma ni aghali akaanzishe mtandao wake"
Kwani hatuwezi kuishi bila bundle la internet au voice airtime?
Mtu akiona hawezi kumudu gharama ya kitu flani anaacha au anabana matumizi kupita kiasi. Kuna wateja kibao wanamaliza siku nyingi bila kuweka credit kwenye simu. Sisi loyal customers ndio tulikuwa tunaendesha hizo kampuni na kulipa kodi ya serikali.
Nasisi utaona kutoka 10,000/- kwa mwezi tunapunguza hadi 4000/- mwisho mwezi mzima hujajiunga kifurushi.

Huku mtaani kuna watu wameacha kunywa pombe zaidi ya kunywa kwenye sherehe tu nbaada vyuma kukaza, itafika wakati watua wataacha kununua vifurushi vya simu. Hiki sio chakula, maji au hewa kusema ukikosa utakufa.

Mtu atateseka siku 5 tu basi anazoea kuishi bila internet au kupiga simu daily.
 
Back
Top Bottom