Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 16,854
- 31,451
Thanks mkuu, sema ndio nishaingia chaka nilinunua cha 1GB@2000/- siku 3 hakina hata dakika za maongezi.Mkuu tumia hii nimekipata hapa*149*81# then bofya namba 4
Thanks mkuu, sema ndio nishaingia chaka nilinunua cha 1GB@2000/- siku 3 hakina hata dakika za maongezi.Mkuu tumia hii nimekipata hapa*149*81# then bofya namba 4
Jamani wamefanyaje tena , mana kha na mie mtumiaji wa airtelWameniuz sana kesho narud zangu ttcl sitaki shida
Hii vocha ya buku niliyoweka leo ndo ya mwisho
Mbona mie sina icho kifurush tangu nasajili laini yangu ya airtel?*149*99#, Chagua Namba 7 Uni, Kisha Namba 2.
Hapo namba 2 ilikuwa 1000/- unapata 1GB, 100Min Airtel-Airtel, 10Min Mitandao yote, SMS 1000 kwa siku tatu.
Ilikuwa inapatika kwa wateja maalum tu watumiaji wakubwa wa data na dakika, wateja wa muda mrefu.
Sasa haipo wanakupa madakika kibao ya kuongea bila kifurushi cha net.
Sio wote walikuwa wanapata hiki kifurushi, ni wateja maalum.nadhani wenye matumizi makubwa ya vifushi vya internet na voice.Mbona mie sina icho kifurush tangu nasajili laini yangu ya airtel?
Usije kuhamia Voda. Ni hatari. Vifurushi huwa haviishi bali vinayeyuka.Ni kampuni ipi ya simu yenye vifurushi nafuu maana huku Airtel wanaua. Nataka kuhama as soon as possible.
Msaada wenu wakuu .
Voice wana gharama nafuu sana kwenda mitandao yote.dah kweli aseee sema bado airtel itakua option pekee kwangu kwa "voice call"
Data situmiii yao so mi nawambia waendelee tu kuhangaika.
Wala sio hivyo, bali lazima line iweni ile ya chuoSio wote walikuwa wanapata hiki kifurushi, ni wateja maalum.nadhani wenye matumizi makubwa ya vifushi vya internet na voice.
Jaribu *149*81# kisha bofya namba 4.
Kwa hisani ya Beira Boy a.k.a Mason Mount
Mimi leo ndio nimejikwaa. Nimezoea naingia tu UNI OFFERS,nakuta mzigo haupo. Ikabidi niingie wa buku 2 kwa siku 3Wameniuz sana kesho narud zangu ttcl sitaki shida
Hii vocha ya buku niliyoweka leo ndo ya mwisho
Halafu wasichokijua airtel wenyewe wana wateja wa msimu wanaokimbia kwingine. Ilitakiwa wawashikilie kweli kweli. Afisa masoko wao hajui kupandisha wateja wa kudumuKesho nakivunja hiki kilain chao wapuuz kabisa
Mimi laini yangu ni ya kawaida tu, nilinunua zamani kabla ya line za chuo na baadae vifurushi vya chuo.Wala sio hivyo, bali lazima line iweni ile ya chuo
Kuna mtu ana laini ya chuo lakini kwake ilipotea hiyo huduma mwaka jana nadhani.Wala sio hivyo, bali lazima line iweni ile ya chuo
Hata mimi nimezoea kuingia kwa *149*99# nashangaa nakuta madakika tu. Sijazoea menu nyingine.Mimi leo ndio nimejikwaa. Nimezoea naingia tu UNI OFFERS,nakuta mzigo haupo. Ikabidi niingie wa buku 2 kwa siku 3
Mimi leo ndio nimejikwaa. Nimezoea naingia tu UNI OFFERS,nakuta mzigo haupo. Ikabidi niingie wa buku 2 kwa siku 3
Mbona mie sina icho kifurush tangu nasajili laini yangu ya airtel?
Oooh...?. Sasa mbona hukuniambia toka asubuhi dogo?. Ona sasa nimeingiliwa buku?. Utarudisha wewe hilo bukuWamehamishia namba hii *189*81# kisha namba 4
Inatosa kwangu. I mean inakataa nikiingia hapoWamehamishia namba hii *189*81# kisha namba 4
Ni hii nilikosea namba *149*81#Inatosa kwangu. I mean inakataa nikiingia hapo