Vifurushi offer

Vifurushi offer

dau1996

Senior Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
120
Reaction score
72
*TUNAKURAHISISHIA SHANGWE ZA SIKUKUU NA HALOTEL

*Jipatie Mojawapo ya Vifurushi Orodheshwa kwa Bei Poa Kabisa*

1: GB 15, dakika 650 mitandao yote na dakika 800 halotel.

2: GB 1.5 dakika 1100 mitandao yote na dakika 300 halotel.

3: GB 25 dakika 50 Halotel

NB: *Vifurushi vyote ni kwa Mwezi*.

Share kwa groups mbalimbali ili ndugu, jamaa na marafiki wavipate hivi vifurushi vitamu
 
km hauamini kaa pembeni watakaoamink watakuja
 
ajitolee mmoja then aje kuwapa feedback
 
*TUNAKURAHISISHIA SHANGWE ZA SIKUKUU NA HALOTEL

*Jipatie Mojawapo ya Vifurushi Orodheshwa kwa Bei Poa Kabisa*

1: GB 15, dakika 650 mitandao yote na dakika 800 halotel.

2: GB 1.5 dakika 1100 mitandao yote na dakika 300 halotel.

3: GB 25 dakika 50 Halotel

NB: *Vifurushi vyote ni kwa Mwezi*.

Share kwa groups mbalimbali ili ndugu, jamaa na marafiki wavipate hivi vifurushi vitamu

Tuwasiliane
*0625533419*

Bei ya vifurushi
15000-kwa laini ya chuo
18000-kwa laini za kawaida
hicho buk15 mm naunga buk10
na hch buk18 mm naunga buk15
[HASHTAG]#wacha[/HASHTAG] tamaa
 
Always risk for the best

Hongera! Namba 0629481245 imekuzawadia kifurushi cha mwezi cha Smartphone. Umepokea dk 800 (Halotel)+ dk 650 (mitandao yote) + SMS 10000 + MB 15360 hadi 17:09 23/01/2018. Asante!
 
Jamaa hana ubabaishaji dakika mbili tu SMS ya kuungwa kifurushi imeingia
Chambo imenasa
 
*TUNAKURAHISISHIA SHANGWE ZA SIKUKUU NA HALOTEL

*Jipatie Mojawapo ya Vifurushi Orodheshwa kwa Bei Poa Kabisa*

1: GB 15, dakika 650 mitandao yote na dakika 800 halotel.

2: GB 1.5 dakika 1100 mitandao yote na dakika 300 halotel.

3: GB 25 dakika 50 Halotel

NB: *Vifurushi vyote ni kwa Mwezi*.

Share kwa groups mbalimbali ili ndugu, jamaa na marafiki wavipate hivi vifurushi vitamu

Tuwasiliane
*0625533419*

Bei ya vifurushi
15000-kwa laini ya chuo
18000-kwa laini za kawaida
kuna mtu hapa anatafutwa kupitia vifurushi.take care
 
Back
Top Bottom