Vifurushi offer

Vifurushi offer

Halotel nyie mbwa ambao 1.2GB ukiangalia standard quality videos youtube tu nusu saa haifiki unaambiwa umebakiza mb5. Mkafie mbele na wizi wenu huku airtel 1.2Gb tu siku nzima unashinda youtube bila kokoro.
 
Ambae anataka proof afanye kuunganisha line zote mbili na same bandwidth aanze ku stream same content af aone jinsi halotel walivyo wezi.

Ata hio elfu 15 unayolipia hizo GB amini nakwambia tarehe 10 ya mwez wa kwanza hutafika!!! With no serious uses.
 
b74f3ea74ef8404825635ecc142a9b7d.jpg



chambo wa kwanza huyo
 
Halotel washafanya yao kifurushi cha chuo cha internet wamepunguza 50 mb taratibu watafika kama mitandao mingine
 
Mimi natumia tigo nina buku tano chap niungie kifurushi kama unafanya kazi hii
 
Halotel mnashusha vifurushi km magunia kwenye gari ...mshushe na bei za vocha sasa ..nami na tangaza kuhama mtandao ifikapo trh 2 mwez ujao ..ww tutoke mb 1229 na dk 15 tuje adi dk 10 mb 800 kwa 1500 ..m..nyie
 
Back
Top Bottom