Vifurushi offer

Vifurushi offer

Halotel mnashusha vifurushi km magunia kwenye gari ...mshushe na bei za vocha sasa ..nami na tangaza kuhama mtandao ifikapo trh 2 mwez ujao ..ww tutoke mb 1229 na dk 15 tuje adi dk 10 mb 800 kwa 1500 ..m..nyie
tigo na voda wanatoaje
 
Vodacom university offer, tunaiwezesha laini yako ya vodacom kuwa ya chuo na unaweza kupata vifurushi vya chuo popote na muda wowote.
Vifurushi vya Wiki ni :
1. Tsh500=500MB
2. TSH 1500=150Voda+15all ,2GB
3. Tsh 2500=250voda + 20all, 4 GB

Gharama ni tsh 9000 tu
Wasiliana kwa 0769756914

Vigezo ni:
Namba ya voda
Jina la namba
Email address
 
Ambae anataka proof afanye kuunganisha line zote mbili na same bandwidth aanze ku stream same content af aone jinsi halotel walivyo wezi.

Ata hio elfu 15 unayolipia hizo GB amini nakwambia tarehe 10 ya mwez wa kwanza hutafika!!! With no serious uses.
Hizo hazimalizi hata wiki mbili
 
Mkuu nami nizawadie gb 10 pekee bila dakika nitakutumia elfu tano nikiona tyr huwa naangalia kazi kwanza km upo tyr nikupm
 
Back
Top Bottom