Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Waliokaa pembeni ya Oysterbay Primary ni akina Bakirane, sio bakilana. Akina Bakilana walikaa kule karibu na lilipoanzia daraja la Tanzanite.

Kwa kina Bakirane walikua wanafuga Ng'ombe pale kwao na ile Isuzu KB double cabin tulienda nayo sana kuchukua majani shamba.

Enzi hizo huwezi ishi au pita pita mitaa ile usiwajie akina Kafipa, Apson, Kejo, Kitomari, Mtui, Cathless, Faraji, Kamuzora, Warioba, Mengi, Kihampa, Ngamilo, Ngalawa, Malecela, Bakilana, Bakirane, Ligate, Usungu, Mtui, Kotta, Mpembe, Maliti, Ntukamazina, Mahiga, na wengineo, akina Malocho na Mang'enya waliishi Chole road huko na Akina Typhon Maji. Majina ni mengi sana ngoja niachie hapo.
Heheheehehehehe na Last name yangu umeitaja hapo ila ndio hivyo mambo ya kimya kimya .Kweli hao bakirane ni kina Benjamin na hao Bakilana nadhani mmoja aliita Philip
 
Enzi za muvi ya Kid n Play, House Party
Boyz and the Hood
New Jack city

Nakumbuka niliazimwa casseti ya redio ya NWA albam ya Niggaz4Life nikarikodi, redio ikala mkanda, mshkaji alinimaidi sana, ilikuwa original cassete ametumiwa kutoka US
hahahah duh Umenikumbusha Kid N play Houseparty, sindio tukaanza iga umarekani kufanya party, party ikafanyika kwa kina Eddy Sapi, wazee wetu wote wakanuna kwaninai Mzee sapi karuhusu mwanaeafanye party ya vijana bila usimamizi wa wazee
 
Wewe huyo jamaa unamsoma mwenye mitandao, wote hatumjui , mimi na zungumzia watu ninao wajua, so huu uzi labda haukufai sababu huna idea na ninao wazungumzia ni kina nani.
Kabla hawa kina Diamond kukamata soko na kugeuza umaarufu kwa ku add glamour , zamani celebrities hawakua na mvuto, walionekana masikini na washamba ( haswa kw avijana wa Obay /Masaki hawakua na tme na mabendi waliona ni mambo ya uswahini na washamba ) ,, hivyo sisi wa Ushuani tulikua na celebrities wetu kwa maana ya Socialites, sasa huyo Makatta na Robert walikua famous na ndio stars wetu huko Obay, so misiba yao ilikua shocking kwa kila mtu aliye wajua , ndio sababu nasema ilikua ni big news ilikuwa
Ninajua humu kuna wengi wa Obay ,Masaki ,Ada Estare ,Upanga , Reagent Estate ,Mikocheni wanao jua nao wazungumzia na wapo walio kuepo wakati misiba hiyo inatokea ndio nasema na hao wanao zijui hizo familia na kuwajua marehemu na matukio hayo.
Nilivyokuelewa sivyo unavyolazimisha ueleweke.

U.rweka uzi wacha tuuchangie namna tunavyoelewa.

Vifo tata
 
Kuna jamaa alikua ana itwa Fareed ,alikua kanyoa Punky kama la Kid wa Kid N Play na alifanana naye kiaina ,nasikia kama naye he is no longerwith us , too sad wengi wametangulia . Kuna jamaa alikua naitwa Quarts aisee,yule jamaa alikua akivaa koti fulani nilikua namuona kama a Vampire lol ,Kuna jamaa alikua anaitwa Michael jackson, ikabidi awe tunamwita Michal J, maana watu walidhani ana jiita kujifananisha na Michael jackson na ye nasikia alitangulia
Obay ilikua na vichekesho sana kwnye ubishoo wakuiga Umarekani aisiee, yani watu tulikua tunajiona kama tuko America , halafu bila kujua kumbe yae maisha uliyo iga ni ya ki ghetto in America sisi tukidhani ndio ushua wa kimarekani lol
Tukienda Coco beach ya enzi zile ya kishua, watu mna shindana ku pitisha magari, wote tulikua na Japanese toys walio kuwa na magari ya ukweli Mercedez,BMW ,Audi ni wachache sana nao wakumbuka kina Janguo ,Abebe,Mandaras na kina YUYu na wengine siwakumbuki.
Ila jambo moja la kushangaza, mbona kipindi hicho nilikua simsikia Motie wala Regina Mengi wala kuwaona wakiwa na magari? Nime anzamuona Motie ilikua ni teari 2000 ,tena ilikua Bar One, lakini nilikua sija wahi muona enzi zile za ubishoo wa late 80 na eary 90s au alikua UK ana soma ? maana kama angekuwa yupo lazima tunge ona gari yake anayo endesha .
 
Dah,

Jina la Nancy umenikumbusha Nancy Sayore na ice cream za Kimicho.

Siku moja Namanga nilikiwa namsalimia Nancy nampa pole kwa masahibu fulani yalimpata, wabongo walikuwa wanamsema sana. Nikawa nafurahia kumuona na kumpa moyo tu kama kaka rafiki mwenye bashasha, kwamba asijali maneno ya wabongo.

Ile naangalia pembeni hivi, naona Lt. Gen Gideon Sayore kakaa kwenye Nissan Patrol ananipiga jicho pembe anaangalia body language yangu kwa Nancy.

Nikasema utubora kitu muhimu sana, yani Mzee Sayore aliniona poa kwa sababu nilikuwa nacheka vizuri na Nancy. Pale kama ningekuwa namzodoa Nancy Lt. General Sayore angeshuka na kunibeba mzobemzobe mara moja!
Lol huyo Nancy sisi tunamuita Coco, ni kama sister wangu huyo Mzee Sayore na Mzee wangu ni kama brothers
 
Waliokaa pembeni ya Oysterbay Primary ni akina Bakirane, sio bakilana. Akina Bakilana walikaa kule karibu na lilipoanzia daraja la Tanzanite.

Kwa kina Bakirane walikua wanafuga Ng'ombe pale kwao na ile Isuzu KB double cabin tulienda nayo sana kuchukua majani shamba.

Enzi hizo huwezi ishi au pita pita mitaa ile usiwajie akina Kafipa, Apson, Kejo, Kitomari, Mtui, Cathless, Faraji, Kamuzora, Warioba, Mengi, Kihampa, Ngamilo, Ngalawa, Malecela, Bakilana, Bakirane, Ligate, Usungu, Mtui, Kotta, Mpembe, Maliti, Ntukamazina, Mahiga, na wengineo, akina Malocho na Mang'enya waliishi Chole road huko na Akina Typhon Maji. Majina ni mengi sana ngoja niachie hapo.

Apson walihama maeneo ya jirani na shule pale? Namkumbuka mdogo wake Tom tulikuwa darasa moja na mama yao alikuwa mwalimu pale. Basi dogo alikuwa wa kishua na ushua uliopitiliza yaani alikuwa anavaa sock nyeupe ndefuuu hadi magotini na ni mvulana yaani duh

Hivi unakumbuka matumizi ya simu za mezani na zile kofuli? Yaani kofuli ndio ilikuwa badala ya password hata sijui. Funguo inakaa chumbani kwa mshua. Chumbani kwake kuna simu na ingine sitting room ni kama extension. Sasa Ukitoa namba ya simu ujue ndio hiyohiyo na mshua au wengine wanatafuta tu kwenye zile directory. Sasa unakuta mshua yupo chumbani kwake, mtu anapiga simu hapokei kwake anasubiri ipokelewe na watoto sitting room alafu nadhani alikuwa anaskiza ajue ni conversation gani inaendelea, utaona tu huyo katoka kwenye corridor unapigwa jicho mada inabadishwa chap. Dada zangu ndo walikuwa wanakoma na hizo simu
 
Kuna jamaa alikua ana itwa Fareed ,alikua kanyoa Punky kama la Kid wa Kid N Play na alifanana naye kiaina ,nasikia kama naye he is no longerwith us , too sad wengi wametangulia . Kuna jamaa alikua naitwa Quarts aisee,yule jamaa alikua akivaa koti fulani nilikua namuona kama a Vampire lol ,Kuna jamaa alikua anaitwa Michael jackson, ikabidi awe tunamwita Michal J, maana watu walidhani ana jiita kujifananisha na Michael jackson na ye nasikia alitangulia
Obay ilikua na vichekesho sana kwnye ubishoo wakuiga Umarekani aisiee, yani watu tulikua tunajiona kama tuko America , halafu bila kujua kumbe yae maisha uliyo iga ni ya ki ghetto in America sisi tukidhani ndio ushua wa kimarekani lol
Tukienda Coco beach ya enzi zile ya kishua, watu mna shindana ku pitisha magari, wote tulikua na Japanese toys walio kuwa na magari ya ukweli Mercedez,BMW ,Audi ni wachache sana nao wakumbuka kina Janguo ,Abebe,Mandaras na kina YUYu na wengine siwakumbuki.
Ila jambo moja la kushangaza, mbona kipindi hicho nilikua simsikia Motie wala Regina Mengi wala kuwaona wakiwa na magari? Nime anzamuona Motie ilikua ni teari 2000 ,tena ilikua Bar One, lakini nilikua sija wahi muona enzi zile za ubishoo wa late 80 na eary 90s au alikua UK ana soma ? maana kama angekuwa yupo lazima tunge ona gari yake anayo endesha .
Mzee wao alikuwa mkoloni.. madogo wamesoma marangu seki (marangu secondary ) shule za changanyikeni
 
Wakina Mutie na Abdiel Mzee Mengi aliwatia discipline tangu zamani.

Nakumbuka kabla hawajahamia Oysterbay walikuwa wanakaa Upanga. Tukienda kwao tunawaita wacheze walikuwa hawatoki kucheza, tukiwaita kucheza wanasema wanafanya homework.

Siku moja Abraham akatoboa siri kwamba baba yao anawafanyisha kazi ya kuweka wino kwenye peni, walikuwa na kiwanda kidogo cha kutengeneza peni za BIC kwao. Ndiyo maana walikuwa hawawezi kutoka nje kucheza.

Kwa hivyo Mzee Reginald Mengi alikuwa amewa tight kwenye kazi tangu wadogo.

Lakini baadaye tumeona matunda walivyojiimarisha kibiashara.

RIP Rodney Mutie Mengi.

RIP Reginald Mengi
 
Apson walihama maeneo ya jirani na shule pale? Namkumbuka mdogo wake Tom Apson tulikuwa darasa moja na mama yao alikuwa mwalimu pale. Basi dogo alikuwa wa kishua na ushua uliopitiliza yaani alikuwa anavaa sock nyeupe ndefuuu hadi magotini na ni mvulana yaani duh

Hivi unakumbuka matumizi ya simu za mezani na zile kofuli? Yaani kofuli ndio ilikuwa badala ya password hata sijui. Funguo inakaa chumbani kwa mshua. Chumbani kwake kuna simu na ingine sitting room ni kama extension. Sasa Ukitoa namba ya simu ujue ndio hiyohiyo na mshua au wengine wanatafuta tu kwenye zile directory. Sasa unakuta mshua yupo chumbani kwake, mtu anapiga simu hapokei kwake anasubiri ipokelewe na watoto sitting room alafu nadhani alikuwa anaskiza ajue ni conversation gani inaendelea, utaona tu huyo katoka kwenye corridor unapigwa jicho mama inabadishwa chap. Dada zangu ndo walikuwa wanakoma na hizo simu
Hizo simu tumezipiga sana pamoja na locky zake ni kiasi cha kubonyeza tu pembeni unapo lalia mkono wa simu mara idadi ya namba, isa sikumbuki kama namba sifuri tulikuwa tunaweza kweli!
 
Kuna jamaa alikua ana itwa Fareed ,alikua kanyoa Punky kama la Kid wa Kid N Play na alifanana naye kiaina ,nasikia kama naye he is no longerwith us , too sad wengi wametangulia . Kuna jamaa alikua naitwa Quarts aisee,yule jamaa alikua akivaa koti fulani nilikua namuona kama a Vampire lol ,Kuna jamaa alikua anaitwa Michael jackson, ikabidi awe tunamwita Michal J, maana watu walidhani ana jiita kujifananisha na Michael jackson na ye nasikia alitangulia
Obay ilikua na vichekesho sana kwnye ubishoo wakuiga Umarekani aisiee, yani watu tulikua tunajiona kama tuko America , halafu bila kujua kumbe yae maisha uliyo iga ni ya ki ghetto in America sisi tukidhani ndio ushua wa kimarekani lol
Tukienda Coco beach ya enzi zile ya kishua, watu mna shindana ku pitisha magari, wote tulikua na Japanese toys walio kuwa na magari ya ukweli Mercedez,BMW ,Audi ni wachache sana nao wakumbuka kina Janguo ,Abebe,Mandaras na kina YUYu na wengine siwakumbuki.
Ila jambo moja la kushangaza, mbona kipindi hicho nilikua simsikia Motie wala Regina Mengi wala kuwaona wakiwa na magari? Nime anzamuona Motie ilikua ni teari 2000 ,tena ilikua Bar One, lakini nilikua sija wahi muona enzi zile za ubishoo wa late 80 na eary 90s au alikua UK ana soma ? maana kama angekuwa yupo lazima tunge ona gari yake anayo endesha .
Fareed nadhani alikua anakaa msasani road, may his soul rest in peace, alikua mshkaji sana tulikua tunapiga nae gambe pale mhalibwa kwa mama D. na akina Frank Mtafungwa. Michael Jackson Chiwanga alikua anakaa flats flani kule jirani na maeneo ya slipway, nae alishatangulia, may his soul rest in peace. Quarts pia nadhani alikua ni kijana wa msasani road.

Mutie alikua wa kishua sana, maeneo kama coco beach ilikua sio zake. by then alikua na Toyota 4 runner nyekundu, brand new.

Coco beach kwa Alphonce, watu tulikua members pale tokea jamaa anaanza biashara ya bar pale. by then alikua akinunua bia kreti moja moja pale mhalibwa. Yeye ndio alifungua bar ya kwanza pale coco beach. Kabla yake kulikua hamna kitu pale zaidi ya kile choo cha public.
 
Frank alikuwa mchokozi na mkorofi hatari shuleni primary school Oysterbay.
 
Wakina Mutie na Abraham Mzee Mengi aliwatia discipline tangu zamani.

Nakumbuka kabla hawajahamia Oysterbay walikuwa wanakaa Upanga. Tukienda kwao tunawaita wacheze walikuwa hawatoki kucheza, tukiwaita kucheza wanasema wanafanya homework.

Siku moja Abraham akatoboa siri kwamba baba yao anawafanyisha kazi ya kuweka wino kwenye peni, walikuwa na kiwanda kidogo cha kutengeneza peni za BIC kwao. Ndiyo maana walikuwa hawawezi kutoka nje kucheza.

Kwa hivyo Mzee Reginald Mengi alikuwa amewa tight kwenye kazi tangu wadogo.

Lakini baadaye tumeona matunda walivyojiimarisha kibiashara.

RIP Rodney Mutie Mengi.

RIP Reginald Mengi
Hivi yule ni Abraham au Abdiel?
 
Nonsense. Why exactly him? There was a whole bunch of useless, entitled, fucked up brats living free out of their parents’ government rental properties in Masaki and Oysterbay, including yourself? Kwahiyo unataka kusema Makwatta alikuwa a random victim of such a savage and senselesds murder sababu tu alikuwa anaishi Masaki/Oysterbay?
My brother you are losing the plot. Hapa watu wanakumbushana stories za maisha miaka hiyo.. The point is, Oysterbay was there….so hata kama siyo Kiranga au Wingawinga wengine wangeishi. Hata wewe au mimi nyota ingetutokea mshua ramani zimekubali tungeishi huko.. Hata wewe hapo ulipo, Kuna watu wanaamini watoto au familia yako wanaishi kishua au ushuani. Sasa should they feel guilty at some point in the future kuishi maisha mazuri? Unataka Wingawinga akupe stories za mwananyamala ambayo hakuwahi kuishi, kisa ajinasibu kama mtu wa kipato cha chini?
wengine stories kama hizi zinatubariki. Zina kuonyesha kwamba tunaishi kwenye dunia yenye possibilities.

take it easy bro ..hizi ni stories, nothing serious. matabaka ndo yanaifanya dunia iwe na thamani.
 
Mshana Jr alianzisha uzi wa kuongelea mitaa ya Mwananyamala hapa.

Uzi ulipata wachangiaji wengi sana wakikumbuka maisha ya mitaa hiyo.

Na hakuna mtoto wa Oysterbay hata mmoja aliyeleta fujo katika uzi huo.

Tuliishia kusoma tu na kufurahia wenzetu wanavyokumbuka mitaa ya kwao.

Hizi kelele mara nyingine ni wivu na inferiority complex tu.
 
Back
Top Bottom