Vifo vingine ni kujitakia

Vifo vingine ni kujitakia

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,505
Reaction score
138,384
Waoneni Hawa watoto wanavyocheza maisha yao!ila walichokipata wamekipata

Ova
 
Pimbavu sana hawa watoto, wanasababishia wenzao ajali. Wao uhai hauna thamani kwao
After all bado ni watoto!! Hapo ungewafukuza waache huo mchezo wangekulaani kutoka mioyoni mwao kabisa kuwa umewadhulumu furaha yao!!unajua kuna mchujo mkali sana kwenye kuuhifadhi uhai toka utotoni hadi ukubwani! Ukiweza kushinda mitihani ya utoto na ukaendelea kuutunza uhai basi unaingizwa kwenye mtihani wa pili,UJANA!! Huu nao si mchezo kabisa,kuchomoka hapo ni nadra!! Ungewekewa kioo mbele yako kikakuonnyesha michezo ya vijana wanayoicheza kwa Ujana wao ungesema heri na ya hao watoto!! Ukiona watu wamekuwa wazee na wakoloni ni kwa kuwa wanaogopa kuona waliyoyaona in their two back stages!!
 
Hawo sjui kama watarudia tena
Mchezo wao huo

Ova
 
Daaa! Nimejikuta moyo unauma.

Yaani wamekutana wote hakuna wa kumkataza mwenzie. Ila ule mzinga sidhani kama yule dogo kapona.
 
Daaa! Nimejikuta moyo unauma.

Ila age hiyo kwa mtoto ni ya uangalizi sana sababu wengi kila kitu wanataka wajaribu. Japo saa nyingine ni ngumu kuwazuia kwani wengi hawafanyii katika mazingira ya nyumbani au karibu na nyumbani.
Wao nia yao ni kukwepa Gari
Alafu wanakimbia na kuruka kwenye dimbwi la maji.......

Ova
 
Tragedy!Naamini wako wakubwa wenye kujielewa hapo mchezoni wamemponza huyo aliyegongwa!
 
After all bado ni watoto!! Hapo ungewafukuza waache huo mchezo wangekulaani kutoka mioyoni mwao kabisa kuwa umewadhulumu furaha yao!!unajua kuna mchujo mkali sana kwenye kuuhifadhi uhai toka utotoni hadi ukubwani! Ukiweza kushinda mitihani ya utoto na ukaendelea kuutunza uhai basi unaingizwa kwenye mtihani wa pili,UJANA!! Huu nao si mchezo kabisa,kuchomoka hapo ni nadra!! Ungewekewa kioo mbele yako kikakuonnyesha michezo ya vijana wanayoicheza kwa Ujana wao ungesema heri na ya hao watoto!! Ukiona watu wamekuwa wazee na wakoloni ni kwa kuwa wanaogopa kuona waliyoyaona in their two back stages!!
Kaptain
 
Back
Top Bottom