Vifo vilivyoniumiza JF

Nimshukuru Mungu kwa mipango ya mwanadamu?

Mwanadamu kaanzisha Polisi kwa malengo yake, mwanadamu kutokana na mwenendo wake mbaya wa maisha anajisababishia maradhi mabaya sana kabla hajafa.

Mungu hashukuriwi kwa kuepusha matatizo tu hata kwa kuyakabili na kuyashinda au kufeli.

Ndio maana anasema Kuishi ni Kristo kufa ni Faida
 
Tunapaswa kumshukuru Mungu kwa kipi mkuu kama si hayo yaliyoainishwa awali?
 
R.I.P Mpauko,
huyu member amenifanya nijue mwanaume hadi jamii ijue kuwa ulikuwa unayapitia ni hadi pale hilo tatizo litakupeleka either kaburini.
Hakuna anaye jali mapito ya mwanaume ambaye hana uhakika wa kula kesho.
Sio mwanaume tu
hata mwanamke
tena mwanamke ni risk sana

Mala zote ukiwa na nyakati ngumu hata ukielezea mtu atakwambia hilo lako ni la kawaida mtu asijue tumetofautia kiwango cha uvumulivu

Cha muhimu ni kujifunza kujituliza mwenyewe bila kutegemea utulivu kutoka kwa watu watu wako busy

Ishi nayo hiyo Muhaini
 
Matendo ya Mungu si ya mwanadamu.. Kwakuwa Mungu si mwili bali ni roho..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…