Hawa kuku WA kienyeji wa Dar. ni chotara wanatudanganya tuKwa nn kuku wa kienyeji wanasombwa kila uchwao toka mikoani kuja dar ilhali wafugaji wa kuku wa kienyeji daslam mnahangaika na masoko? Hili swali huo silipatii majibu
Hawa kuku wa kienyeji wa Dar. ni chotara wanatudanganya tuKwa nn kuku wa kienyeji wanasombwa kila uchwao toka mikoani kuja dar ilhali wafugaji wa kuku wa kienyeji daslam mnahangaika na masoko? Hili swali huo silipatii majibu