VIFARANGA VYA KUKU WA KIENYEJI VINAUZWA

273

Member
Sep 12, 2017
63
82
Natafuta soko la vifaranga wa kuku wa kienyeji wa umri wa week moja.

pia natafuta soko la kuku wakubwa wa kienyeji.

kwa mawasiliano: 0713722589. tupo dar maeneo ya tabata
 
Kwa nn kuku wa kienyeji wanasombwa kila uchwao toka mikoani kuja dar ilhali wafugaji wa kuku wa kienyeji daslam mnahangaika na masoko? Hili swali huo silipatii majibu
 
  • Thanks
Reactions: 273
Kwa nn kuku wa kienyeji wanasombwa kila uchwao toka mikoani kuja dar ilhali wafugaji wa kuku wa kienyeji daslam mnahangaika na masoko? Hili swali huo silipatii majibu
Hawa kuku WA kienyeji wa Dar. ni chotara wanatudanganya tu
 
  • Thanks
Reactions: 273
Wengi wanashidwa kwenye pricing nahisi ,wanafuga wanaotaka kuuza wanashindwa kuendana na hali ya walaji
 
  • Thanks
Reactions: 273
Kwa nn kuku wa kienyeji wanasombwa kila uchwao toka mikoani kuja dar ilhali wafugaji wa kuku wa kienyeji daslam mnahangaika na masoko? Hili swali huo silipatii majibu
Hawa kuku wa kienyeji wa Dar. ni chotara wanatudanganya tu
 
  • Thanks
Reactions: 273
usafiri inategemea na mahali ulipo na idadi unayochukua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom